Kwa Israel kukishikilia kituo cha mpaka cha Rafah ndio imekamilisha kampeni yake ya kutumia chakula kama silaha ya vita

Mwanzoni zilikuwa zinashikiliwa na nani
 
Israil anaendeleza kichapo maalim
Sa yanini huwa anataka maongezi na Hamasi ya amani, kama anauwezo huo.

Us, Europe, Egypt, Jordan ,UAE, Baharain, Saud Arabia wote hao wamemshindwa Hamas.

Mtabaki mnaota kama Hamasi atashindwa na nguruwe na vibaraka wa US.
 
Umekuwa brainwashed vibaya sana
Kama vile wewe kuamini Yesu ni Mungu, na Israel kusema ni taifa lake.

Hivi aliye mpigilia Yesu pale msalabani ni nani vile, na alikuwa wapi Yesu time hizo vinguguti au.

Kwa hio Yesu kafia msalabani kabeba dhambi zenu sio, sa vipi atarudi tena kuna mtu aliye kufa duniani akarudi duniani tena 😄

Basi we pia kumbe utakufa pia, afu utafufuka tena hapa duniani, poleni sana vichaa.

Israel ndio bye bye hilo taifa lenu la kishogo lipo mbioni kukuta roho.
 
Wasijali wapalestina. Allah mwenyewe huruma muweza wa yote atawashushia chakula na maji na kuliteketeza na kuifuta taifa ovu la Israel kwenye ramani ya dunia.
Allah huyu huyu? Nikushauli kitu ndugu yangu nenda Rafah ukawasaidie ndugu zako katika Imani. Achana na Allah na mud. Hakuna cha bikira 72 peponi
 
Unaanzisha fujo na wababe wako ilhali haujui hata chakula utakipata wapi?Hamas ni wapumbavu sana.
 
Unaanzisha fujo na wababe wako ilhali haujui hata chakula utakipata wapi?Hamas ni wapumbavu sana.
Ukiona mtu kaamua kupambana namna hiyo ujue uonevu umekuwa mkubwa na hana njia nyengine .
Anaamua ajitetetee mengine anamuwachia Mungu ambaye ndiye mtoaji riziki na ushindi.
Kwa hali waliyonayo wapalestina ambao hata mazao yao na miti ya kibiashara inang'olewa kila siku na kufukuzwa mashambani mwao,huo mpango wa kujiwekea chakula ndio uanze kupigana haufanyi kazi kabisa na si mpango wa kiume.NI bora uamue kupigana na adui yako ukiwa na nia utakula anachokula yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…