Kwa kampeni yenu hii, mtawatoa wote lakini hamtaweza kuyafuta waliyoyafanya

ndege zimenunuliwa kwa kodi yangu, interchange (wewe unaziita flyover maana hata hujui flyover ni nini) zimejengwa kwa kodi yangu. Jiwe alikuwa anatekeleza ilani ya chama na alikuwa analipwa kwa kutekeleza ilani hiyo.
Kwani sasa hivi umeacha kulipa kodi?
 
Endeleeni kutafunana wenyewe kwa wenyewe sisi tunasogeza kuni na dizeli tu hadi mbaki majivu
 
Yawezekana ulikuwa sahihi lakini ulipohusisha swala la uchaguzi umefuta kila kitu.
 
Hata waliosimamia uonevu,dhuluma,kubambikia kesi za uhujumu uchumi,kuteka na kupoteza watu,kubambikia kodi na maovu mengine nao hata wakiondolewa hayo madhambi yao tunayo mioyoni mwetu.
 
Mtahangaika sana nyinyi sukumagang.

Mwacheni raisi samia aongoze nchi,msimuingilie wala msimpangie.

Nyinyi ni kina nani wa kumchagulia marafiki na maadui?
Hivi Sukumagang ni nini? Mwanasiasa yeyote makini hawezi kucheza na kura zaidi ya 30% ya wapiga kura wake! Hii Sukumagang kama huijui vizuri kafanye homework yako vizuri. Tunahitaji heshima zaidi ya hivi vijembe vyenu vya kipuuzi
 
MAJIZI YA KISUKUMA YAMEZIDIWA KETE NA MAJIZI YA PWANI NA VISIWANI.

Sisi ngoja tuagize popcorns tuone mwisho wenu!
 
Hata waliosimamia uonevu,dhuluma,kubambikia kesi za uhujumu uchumi,kuteka na kupoteza watu,kubambikia kodi na maovu mengine nao hata wakiondolewa hayo madhambi yao tunayo mioyoni mwetu.
Vipi kuhusu fly over zao, unafaidi tu toto la gaidi
 
Huu mkwala tu mkuu, wangapi washapita kwenye hizo nafasi na maisha yakaendelea!!! Tz ni ileile tu miaka nenda rudi
 
Kwa hiyo kwa akili yako umeona hao hawatakiwi kuguswa?

Kwani wengine hawawezi kufanya better than hao!

Yaani Mwendazake aliwaaminisha kuwa yy ni malaika au Mungumtu mpk hamtaki teuzi zake ziguswe.
Huyo nae mjinga flani nadhani niwa ukande uleeee. Waliamini watazikalia hizo nafasi mpaka wafie hapo
 
Sukuma Gang kutwa mnamtukana Samia mitandaoni, halafu mnataka awaache, mnapigwa chini wote kwenye Syteam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…