Hofu yangu ni moja tu; isije ikawa kuna vita ya kupromote Migebuka kutoka Kigoma kwa VP, na kuangamiza biashara ya sangara na sato kutoka Mwanza.
Na kama haya mambo yanafanyika kweli, basi Serikali inatakiwa kuchukua hatua mara moja kupambana na huo uhuni, badala ya kutoa tu angalizo.
Mmmmh aisee hapana,Pole ya nini shemeji mawardat ? Tunakula miaka na miaka sato, leo kisa mtu mmoja kaja na bla bla zake tuache kweli? Kama kufa ingekuwa tayali shem. Acha nile jicho la sato huwa tamuuu [emoji4][emoji4][emoji4]
Sio kipimo cha ubora bali uwepo wa sumuYaani inzi ndio kipimo chako cha ubora? Kweli Africa tuna safari ndefu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbna hukuwahi nambia.Na wanatumia hayo maji pia hili samaki wasiharibike,hii ni kweli halina ubishi,,,wavuvi wenyewe wanasema,,
Na walaji wa kuku wa kisasa pia si salama.
Bora Dr alinikatazaga kula masamaki ya masafa/kwenye mafriji[emoji23]
Mjiandae kunipokea na mzabzab na mie nije kuonja basi na wa hukoMmmmh aisee hapana,
Kuleni tu[emoji23]
Sasa basi huku ziwani kwetu itakuwa hawatumii hayo maji eeeh,
Maana Mbufu ni mtamu[emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunakula uchafu balaa, jiulize samaki anatoka mwanza hadi songea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbna hukuwahi nambia.
Ewaaa mambo ndio haya sasaKaribu sana tena nitakupeleka ziwani ukadake mwenyewe wanaopumua[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo huwa silagi, ko nipo salamaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunakula uchafu balaa, jiulize samaki anatoka mwanza hadi songea[emoji23]
Migebuka imezuiwa lini kuingia sokoni?Hofu yangu ni moja tu; isije ikawa kuna vita ya kupromote Migebuka kutoka Kigoma kwa VP, na kuangamiza biashara ya sangara na sato kutoka Mwanza...
Acha upotoshaji wewe..waafrika kwa uchafu..yani nzi ndio awe tester ya ubora wa samaki.Kuondoa hofu chukua samaki mbichi testa nzi ukiona nzi asogei kwenye msoga wa samaki, sumu hio mwambie akurudishie pesa yako.
πππ muoneNa unavyopenda samaki sasa, kila jumatano...
Mimi nawaunga mkono mgome kula Sato na Sangara ili soko liyumbe bei zishuke sisi wapenda sato na sangara tufaidike kununuwa Kwa bei ya chini, maana hao Samaki bei imepanda sana.Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo.Kama alivyotahadharisha makamu wa raisi dkt Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi.
Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki.Wakiendelea hivyo wengi tutaangamia na hata nchi zinazonunua minofu Ulaya zitapungua.Inatisha.
Maji ya ziwa sio kama ya bahari. Ni rahisi kuchafuka.Kama hatua hazikuchuliwa kuzuia sumu kuingia humo basi ni janga kubwa.Endeleeni kula samaki, hakuna utafiti wowote wa kitaalamu kuthibitisha hayo maji ya maiti hata kama kweli yanatumika kwamba yana uhusiano wowote na kupata magonjwa ya kansa, hii ni sawa na story ya kijiweni...
Kama mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo huwa silagi, ko nipo salamaaa.
Mmeumbuka michezo yenu,pesa muhimu kwenu kuliko afya zetuAcha upotoshaji wewe..waafrika kwa uchafu..yani nzi ndio awe tester ya ubora wa samaki.
#MaendeleoHayanaChama