chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Unazingua mkuu... mbona kaongea tu kawaida hapo?Anawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga.
Kaeni uhamishomi, huku Moto umewaka! Siku ya Kwanza ofisini!
View attachment 2298752
Video ya alichokisema IGP Wambura
Kwa andiko lako wewe ndiye mpumbavu nambari waniNjia sahihi pekee ya kuwamaliza majambazi ni kutumia bunduki, bunduki ndio solution ya kuwaondoa wapumbavu kwenye Jamii.
Hujanielewa. Mimi nilifunga NOVENA kwa ajili ya Lisu Mungu amponyeKwani Lissu kakukosea nini mpaka unatamani angeuawa siku ile!?
Mtapora watu hadi lini yaani sisi tufanye Kazi nyie mchukue kilaini.Rwanda ni salama wametumia njia hii imeleta matokeo 💯 asilimia.Kwa andiko lako wewe ndiye mpumbavu nambari wani
Chizi magufuli siyo raisi wetu tena. Tukulipe nn we.mungu kwa wema wakoMwache aendelee kufaidi amsterdam
Kwanin yeye hataishi milele anavyowatishia wenzake watakufaAnawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga.
Kaeni uhamishomi, huku Moto umewaka! Siku ya Kwanza ofisini!
View attachment 2298752
Video ya alichokisema IGP Wambura
Jiwe nayeye alikua na misimamo kama yako uzuri mmoja kila nafsi itaonja mauti, huyu wa Rwanda nakuhakikishia hataishi milele, sisi wote ni wapitaji kwanin umtishie mwenzako maishaMtapora watu hadi lini yaani sisi tufanye Kazi nyie mchukue kilaini.Rwanda ni salama wametumia njia hii imeleta matokeo 💯 asilimia.
Kamata jambazi tesa ataje wenzake piga bullets,saka aliowataja tesa wataje mtandao wako piga bullets ndani ya miezi 3 Hakuna takataka inayoitwa jambazi au kibaka.Jambazi atakiwi kuwa jela ni matumizi mabaya Sana ya kodi zetu bali kwake ni kuzimu awaishwe.Mtu akiwa mpumbavu inatakiwa atenganishwe na Jamii haraka na sio kumfunga jela.
Aisee! Sio chizi tu ni kichaa!Chizi magufuli siyo raisi wetu tena. Tukulipe nn we.mungu kwa wema wako
johnthebaptist ulinitukana, sasa yametokeaHayo ni mawazo yako potofu!
Tundu Lisu anarudi nyumbani September, this year!
Si mawazo yake...huo ndio ukweli. Tanzania hakuna mpinzani wa kuiondoa CCM. CCM is here to stay. Do not fool your selves.Hayo ni mawazo yako potofu!
Tundu Lisu anarudi nyumbani September, this year!
Nini kibaya alichokisema?Anawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga.
Kaeni uhamishomi, huku Moto umewaka! Siku ya Kwanza ofisini!
View attachment 2298752
Video ya alichokisema IGP Wambura
Unaota?Source? Maana Ahadi zimekuwa nyingi sana?
Arudi home tuliamshe mchakato wa KATIBA mpya .