Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Wajumbe,
Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji.
Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi nyuma. Samia kusema kwamba tunavuta miguu na fursa adhimu tutakimbiwa ni thibitisho kuwa hakuna kurudi nyuma.
Na mwisho kusema kwamba "sijui watafanya nini...."ilhali akijua ni mkutano mkubwa wa tarehe 22 na mikutano 70 ya Mbowe, maana yake ni salamu kwa Polisi kuandaa virungu na maji ya pilipili ya kutosha. Mtapigwa mpaka mtachakaa.