Kwa kauli hii ya Rais Samia, mjadala wa Bandari umefungwa RASMI

Na mwisho kusema kwamba "sijui watafanya nini...."ilhali akijua ni mkutano mkubwa wa tarehe 22 na mikutano 70 ya Mbowe, maana yake ni salamu kwa Polisi kuandaa virungu na maji ya pilipili ya kutosha. Mtapigwa mpaka mtachakaa.
Bora mimi nichapwe na mbongo mwenzangu kuliko kusubiri watoto wangu waje wachapwe bakora na mwarabu
 
Attachments

  • FB_IMG_1688651214549.jpg
    FB_IMG_1688651214549.jpg
    57.8 KB · Views: 1
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Wajumbe,

Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji.

Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi nyuma. Samia kusema kwamba tunavuta miguu na fursa adhimu tutakimbiwa ni thibitisho kuwa hakuna kurudi nyuma.

Na mwisho kusema kwamba "sijui watafanya nini...."ilhali akijua ni mkutano mkubwa wa tarehe 22 na mikutano 70 ya Mbowe, maana yake ni salamu kwa Polisi kuandaa virungu na maji ya pilipili ya kutosha. Mtapigwa mpaka mtachakaa.
Hivi wapo waliotegemea kuna kurudi nyuma?

Labda Anna Tibaijuka.
 
Nenda mahakamani ukafafanuliwe sheria na wanasheria.
 
Wajumbe,

Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji.

Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi nyuma. Samia kusema kwamba tunavuta miguu na fursa adhimu tutakimbiwa ni thibitisho kuwa hakuna kurudi nyuma.

Na mwisho kusema kwamba "sijui watafanya nini...."ilhali akijua ni mkutano mkubwa wa tarehe 22 na mikutano 70 ya Mbowe, maana yake ni salamu kwa Polisi kuandaa virungu na maji ya pilipili ya kutosha. Mtapigwa mpaka mtachakaa.
Samia ni kibri,na kibri kitamfikisha pabaya.Mark my words.
 
Jpm aliwaweza wakina mbowe mpaka wenzie wanakimbilia uhamishoni wamerudi kwa huruma ya samia mbowe na wenzie hawawezi shindana na serikali

..aliyewaweza kina Mbowe ni watu wa serikali kwasababu wana SILAHA.

..Jpm hakuwaweza wakina Mbowe yeye kama yeye.

..Jpm alikuwa muoga ndio maana alifichama ndani ya Ccm maisha yake yote ya kisiasa.
 
Ni jambo jema waje wafanyiwe vetting ukizingatia kwamba baadhi ya hao wakosoaji wanaiwakilisha nchi kupitia balozi zetu, tena hawajengi taathira njema kimataifa, narudia tena kufanyiwa vetting ni muhimu otherwise hawaendani na kasi yako mheshimiwa Rais.
 
Nilikua namuelewa sana Mama hata bendera yake ya Chuma ningebeba ila kwenye hili la Bandari kanitoa kwenye Reli aisee....
 
Bora uvunje tu kwani ni wa kihuni mno mno na hauwezi kukubaliwa ktk nchi yoyote duniani!
1. Muda wa makataba hakuna!
2. Kumilikishwa ardhi
3. Mkataba hakuna kuvunjwa
4. Srikali kukosa uezo wa kukagua kilichofanyika bandarini
5. Serikali kukosa uwezo a kuangalia fursa nyingine
6. Kupewa bandari zote Tz
7. hakuna tangible results (matokeo au manufaa)
Kwa ufupi ni wa kihuni na hadaa kwa wa Tz
 
Mama SSH hapendi huu uhuni kabisa sema kuna watu hasa wawili wanamuingiza chaka sana (mstaafu 1 na fisadi moja limewahi kutuingiza mikenge mingi sana kwa mikataba ya ufisadi)
 
Bora uvunje tu kwani ni wa kihuni mno mno na hauwezi kukubaliwa ktk nchi yoyote duniani!
1. Muda wa makataba hakuna!
2. Kumilikishwa ardhi
3. Mkataba hakuna kuvunjwa
4. Srikali kukosa uezo wa kukagua kilichofanyika bandarini
5. Serikali kukosa uwezo a kuangalia fursa nyingine
6. Kupewa bandari zote Tz
7. hakuna tangible results (matokeo au manufaa)
Kwa ufupi ni wa kihuni na hadaa kwa wa Tz
Nadhani ni moja ya mikataba ya hovyo na wa Kijinga nimeshuhudia katika Maisha yangu aisee huwezi kufikiri kuwa watu wenye akili hata za kuvukia bara bara tu wanaweza kukubaliana huo Ujinga mbaya zaidi na Bunge nalo eti walipitisha..watu wanasema tusimkwamishe Mama wakati Mkataba ni wa Watanzania wote...
 
Back
Top Bottom