Kwa kauli hii ya Rais Samia, mjadala wa Bandari umefungwa RASMI

Wajumbe,

Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji.

Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi nyuma. Samia kusema kwamba tunavuta miguu na fursa adhimu tutakimbiwa ni thibitisho kuwa hakuna kurudi nyuma.

Na mwisho kusema kwamba "sijui watafanya nini...."ilhali akijua ni mkutano mkubwa wa tarehe 22 na mikutano 70 ya Mbowe, maana yake ni salamu kwa Polisi kuandaa virungu na maji ya pilipili ya kutosha. Mtapigwa mpaka mtachakaa.
Hauwezi kufungwa kizembe hivyo, POLISI nao sio wajinga kihivyo,akifanya hivyo ndio anajimaliza kabisa
 
Wajumbe,

Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji.

Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi nyuma. Samia kusema kwamba tunavuta miguu na fursa adhimu tutakimbiwa ni thibitisho kuwa hakuna kurudi nyuma.

Na mwisho kusema kwamba "sijui watafanya nini...."ilhali akijua ni mkutano mkubwa wa tarehe 22 na mikutano 70 ya Mbowe, maana yake ni salamu kwa Polisi kuandaa virungu na maji ya pilipili ya kutosha. Mtapigwa mpaka mtachakaa.
Kwa hiyo maana ya mada yako hii hapa ni kutoa ufafanuzi wa alichosema Samia.

Wewe ni mjumbe wake wa kufikisha vitisho alivyotoa kuwatia uoga hao wengine?

Hizo pilipili na mengine, unao uhakika gani kwamba wananchi wanao uwezo wa kukataa kutumiwa vibaya kwa mali zao hizo.

Unajua vipi, kwamba wananchi hawawezi kuwafuta kazi hao majambazi yanayonyemelea mali za wananchi?

Wewe macho yako yanaona vitu fulani na vingine hayana uwezo wa kuviona?

Hovyo Kabisa, hata kama wewe ni mjumbe tu unayewasilisha upuuzi huo.

Siku nyingine jaribu kutumia akili zako mwenyewe, usiziache zitumiwe na wengine.
 
Vipi na hao DP WORLD, hawajamwaga kweli mzigo kwa baadhi ya Watanzania?

Maana kwa maelezo ya mkongwe Pascal Mayalla, hao Waarabu ndiyo wabobevu katika hicho kitengo cha kumwaga hela, kutoa zawadi na bahshishi mbalimbali, nk.
hivi hawa wanaonunua mifugo mingi na kuichinja kwa lengo sikukuu ya kuchinja ya dini fulani sio dp world kweli? Hii mifugo mingi inayochinjwa sio kafara la kutupumbaza watanzania na mikataba tata ya kuwekeza kwenye mali zetu kweli? Watanzania gani hao wenye uwezo wa kununua mifugo mingi kwa pamoja na kuichina kwa ajili ya sadaka ya ibada ya dini tu isiyo na maana? Unaweza kukuta ni dp world ndio wamemwaga hela hawa matajiri wa mafuta
 
Na hii ilikua tuhuma kubwa sana kwao kwenye Ile isue ya Djibouti. Tukaisome vuzuri ndio mana Jeshi liliwawahi chaap
 
Jpm aliwaweza wakina mbowe mpaka wenzie wanakimbilia uhamishoni wamerudi kwa huruma ya samia mbowe na wenzie hawawezi shindana na serikali
Yuko wapi
He who runs away lives to fight another day....
Fighting thety did..who isn't breathing now?
 
hivi hawa wanaonunua mifugo mingi na kuichinja kwa lengo sikukuu ya kuchinja ya dini fulani sio dp world kweli? Hii mifugo mingi inayochinjwa sio kafara la kutupumbaza watanzania na mikataba tata ya kuwekeza kwenye mali zetu kweli? Watanzania gani hao wenye uwezo wa kununua mifugo mingi kwa pamoja na kuichina kwa ajili ya sadaka ya ibada ya dini tu isiyo na maana? Unaweza kukuta ni dp world ndio wamemwaga hela hawa matajiri wa mafuta
Kichwani mwako mwako kumejaa kinyesi
 
Wajumbe,

Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji.

Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi nyuma. Samia kusema kwamba tunavuta miguu na fursa adhimu tutakimbiwa ni thibitisho kuwa hakuna kurudi nyuma.

Na mwisho kusema kwamba "sijui watafanya nini...."ilhali akijua ni mkutano mkubwa wa tarehe 22 na mikutano 70 ya Mbowe, maana yake ni salamu kwa Polisi kuandaa virungu na maji ya pilipili ya kutosha. Mtapigwa mpaka mtachakaa.
ec6b22d7830731dfb288ab339b6bb6f7.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlitegemea serikali ya CCM wasikilizaji! Labda ni wageni kwenye nchi hii, wakati tunauziwa radar mbovu tena kwa rushwa mpaka kuna waziri huko UK alijiuzulu, lakini bado tukaendelea. Kwenye ndege tukaambiwa ni bora tule majani, lakini ndege lazima, in short wakiamua jambo ndio imetoka
 
Wajumbe,

Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji.

Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi nyuma. Samia kusema kwamba tunavuta miguu na fursa adhimu tutakimbiwa ni thibitisho kuwa hakuna kurudi nyuma.

Na mwisho kusema kwamba "sijui watafanya nini...."ilhali akijua ni mkutano mkubwa wa tarehe 22 na mikutano 70 ya Mbowe, maana yake ni salamu kwa Polisi kuandaa virungu na maji ya pilipili ya kutosha. Mtapigwa mpaka mtachakaa.

Ni nani anaamua ufungwe?
 
Bora ufungwe uwekezeji usonge mbele na akina Tibaijuka wadhibitiwa na tics yao.
 
Back
Top Bottom