Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako.
Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na kupata nafuu ya kuishi.
Kama shida ya wanawake ni watoto wazae nje ya ndoa, na kama wana uwezo kiuchumi waishi peke yao.
Na kama ni kunyanduliwa wanaume wapi, sehemu za starehe zipo na huduma zipo.
Jiulize naona ili iweje, kwa faida ya nani, kwani nisipooa nakwama wapi.
Maamuzi ya kuoa ni ujinga na ufinyu wa akili za kiuchumi na kupambana na umaskini.
Haki sawa kwa wote haina haja ya kuoa 50/50 tukutane uwanjani tukiwashe za kaa kwako maisha yanaendelea.
Kataa Kuoa Kataa Ndoa ni ushetani uliopitiliza, mbususu zipo shida nini gusa achia maisha yanaendelea.
Hasira ndugu yake mkisi na furaha ya mvuvi.
Sicheki na wowote