Na wakati huo huo majimbo mengi yanayoongozwa na CCM ndio yanaongoza kwa umaskini, na ubovu wa miundombinu..Ndio maana mwaka huu ccm itapita kwa kasi sana sababu wananchi wengi wanaogopa kuchagua wapinzani watakosa maendeleo
Kongwa, Mtera Kuna maendeleo gani?Ndio maana mwaka huu CCM itapita kwa kasi sana sababu wananchi wengi wanaogopa kuchagua wapinzani watakosa maendeleo.
Kama mlivyofanya 2015 kwenye li chama lenu mkawaletea watu wehuHuo Ujumbe uwafikie wanaochagua kwa mihemko ya Kisiasa
HUYU ANATAKIWA KUANDIKIWA EVERY SINGLE SENTENCE ANAYOTAKA KUONGEA NA WANANCHI.
Wewe ni kama ni hivyo kwa nini anasema "niliwaambia mnichagulie MTU anayeweza kunisikiliza"?Umemwelewa alichokisema? Kazi ya ujenzi. Wa vitu Kama soko nk Ni ya halmashauri siyo serikali kuu
bajeti yake halmashauri hupitishwa na bunge la halmashauri ambalo Ni madiwani wa hiyo halmashauri na mbunge wa eneo likiwa chini ya spika wao ambaye Ni meya
sasa halmashauri Kama halmashauri haina maendeleo wa kulaumiwa Ni bunge ambalo huptisha bajeti.Sasa kwenye Hilo eneo tatizo Ni Hilo bunge sababu limejaa madiwani na mbunge wa upinzani ambao hupitishwa bajeti kihovyo hovyo bila kulenga maeneo wananchi wanataka
Umemwelewa alichokisema? Kazi ya ujenzi. Wa vitu Kama soko nk Ni ya halmashauri siyo serikali kuu
bajeti yake halmashauri hupitishwa na bunge la halmashauri ambalo Ni madiwani wa hiyo halmashauri na mbunge wa eneo likiwa chini ya spika wao ambaye Ni meya
sasa halmashauri Kama halmashauri haina maendeleo wa kulaumiwa Ni bunge ambalo huptisha bajeti.Sasa kwenye Hilo eneo tatizo Ni Hilo bunge sababu limejaa madiwani na mbunge wa upinzani ambao hupitishwa bajeti kihovyo hovyo bila kulenga maeneo wananchi wanataka
Hata shetani ana mtetezi wake kumbuka...very shameless nyniUmemwelewa alichokisema? Kazi ya ujenzi. Wa vitu Kama soko nk Ni ya halmashauri siyo serikali kuu
bajeti yake halmashauri hupitishwa na bunge la halmashauri ambalo Ni madiwani wa hiyo halmashauri na mbunge wa eneo likiwa chini ya spika wao ambaye Ni meya
sasa halmashauri Kama halmashauri haina maendeleo wa kulaumiwa Ni bunge ambalo huptisha bajeti.Sasa kwenye Hilo eneo tatizo Ni Hilo bunge sababu limejaa madiwani na mbunge wa upinzani ambao hupitishwa bajeti kihovyo hovyo bila kulenga maeneo wananchi wanataka
Upinzani wa akina Zitto Kabwe na Tundu Lissu wakuenda kuichafua nchi nani wa kuwachagua, na Mimi naongezea Mkiwachagua Vichaa kama hao waendelee na ukichaa wao. Mbona Majimbo Majimbo Mengine yanaongozwa na upinzani lakini miradi inakamilika.
Miaka 5 imeisha unasubili grammar kuendesha nchi. Grammars haiendeshi nchi. Brain kubwa kama ya Magufuli hazitambulishwi kwa grammar.Huwa nawaonea huruma sana wanaomtetea mitandaoni huyu jamaa. Haya mataga njooni kashaharibu jamaa huko Kilwa.