Kama ataandikiwa utawezaje kujua ya moyoni mwake.
Moyoni mwake ni kwamba hapendi upinzani, cha ajabu ni kwamba anadai anampenda sana Baba wa taifa na anadai kuendana na misingi na misimamo ya Baba wa taifa, Baba wa taifa ndiye aliyetetea uwepo wa vyama vingi hadi anafariki alikuwa na msimamo kwamba vyama vya upinzani ni kioo cha chama dola kujitazamia.
Vyama vya upinzani vipo kisheria lakini huyu muheshimiwa anaviona kama ni vyama haramu mbaya zaidi kishaanza kufanya kampeni ya uchaguzi mkuu wa 2020 kabla ya wakati.
Kiongozi (Rais) Kuwashutumu wananchi juu ya haki yao ya kikatiba kumchagua mbunge (mtu) wanaye mtaka na kuwaambia wamfuate huyo awape maendeleo hiyo ni kuvunja katiba, abuse of power and black mailing kwa watu hao.
Inasikitisha sana.