Kwa kauli ya Rais, tuombe sheria ya kodi ibadilishwe, majimbo yote ya upinzani Serikali ya CCM isikusanye kodi hata senti huko

Uchaguzi wa 2020 ndio utakuwa uchaguzi muhimu kuliko chaguzi zote historia ya Tanzania. Watanzania chagueni kwa busara au yajao mtashuhudia maajabu.
 
Ndio wampe my ambaye akiagiza soko lijengwe linajengwa Sio anayesema ohh Mimi na madiwani wetu Sio CCM usitupangie Cha kufanya yutajiamulia wenyewe baraza la madiwani.Lakini wakiwa baraza la madiwani Ni CCM kazi inakuwa ndogo ninkuwaamurisha tu sababu pia Yeye Ni mwenyekiti wa CCM aweza livunja Hilo baraza la madiwani kea kuwatimua uanachama lakini likiwa la upinzani hawezi

Ndio maana inakuwa vigumu kushinikiza maendeleo maeneo yenye madiwani wengi wa upinzani

Kama anaweza hayo, kipi kimemshinda sasa hivi kwa hawa wanaccm wanaogawa rushwa nchi nzima kama njugu, na hakuna hata mmoja kafungwa? Bado Magufuli analeta zile siasa za kitapeli, kutaka kuonyesha kama kodi za wananchi ni sawa na mshahara wake?
 
Wewe ni nani nchi hii. Huyo mvunja katiba wenu kaeni naye huko huko kwenye mboga mboga. Watanzania wamemchoka.
Subiri Octoba utamjua Magu ni nani. Watanzania tumeachana na mambo ya ushabiki na sasa tunataka maendeleo tu.

Huo utoto mwingine endeleeni kuufanya huko huko kwenye upinzani wenu.
 
Ushauri wangu kuhusu kodi uuzingatie pia katika majibu yako maana huko nako wanalipa kodi bila kujali ni wana CCM au upinzani
Mbona una kichwa kigumu sana!? Haya mambo ni mapesi tu.

Serikali kuu inakusanya kodi na matumizi ya kodi hiyo ni mtambuka.

Wabunge wenu wa upinzani pamoja na madiwani wana kazi ya kufanya kwenye Halmshauri wanazoziongoza.

Kwahiyo kila mtu ana wajibu kwenye eneo lake. Usichanganye mambo.
 
Subiri Octoba utamjua Magu ni nani. Watanzania tumeachana na mambo ya ushabiki na sasa tunataka maendeleo tu.

Huo utoto mwingine endeleeni kuufanya huko huko kwenye upinzani wenu.

Magu sio muumini wa ushindani wa box la kura, bali ndio anayeagiza chaguzi za nchi hii zibakwe. Kama mmeachana na kuchagua kwa mambo ya ushabiki, ni kipi kilifanya chaguzi zote za marudio tuone, ushenzi, uhayawani na ukatili wa wazi ili ccm watangazwe washindi? Kama kweli mmejitambua, ccm ilishinda kwa kura ngapi uchaguzi wa SM?
 
Wewe ni kama ni hivyo kwa nini anasema "niliwaambia mnichagulie MTU anayeweza kunisikiliza"?
Mnamtetea sana mpaka mnapitiliza ndio maana hadi JK anaamua kuingilia kati kuwafundisha ili muache ujinga huo
Katiba inaendelea kuvunjwa. Ipo siku isiyo na jina watalipa.
 
Upinzani wa akina Zitto Kabwe na Tundu Lissu wakuenda kuichafua nchi nani wa kuwachagua, na Mimi naongezea Mkiwachagua Vichaa kama hao waendelee na ukichaa wao. Mbona Majimbo Majimbo Mengine yanaongozwa na upinzani lakini miradi inakamilika.
Ulitojofu fijo kange ukenywile amino ngati ulikeleng'ese
 
Umemwelewa alichokisema? Kazi ya ujenzi. Wa vitu Kama soko nk Ni ya halmashauri siyo serikali kuu

bajeti yake halmashauri hupitishwa na bunge la halmashauri ambalo Ni madiwani wa hiyo halmashauri na mbunge wa eneo likiwa chini ya spika wao ambaye Ni meya

sasa halmashauri Kama halmashauri haina maendeleo wa kulaumiwa Ni bunge ambalo huptisha bajeti.Sasa kwenye Hilo eneo tatizo Ni Hilo bunge sababu limejaa madiwani na mbunge wa upinzani ambao hupitishwa bajeti kihovyo hovyo bila kulenga maeneo wananchi wanataka
Tuambie vyanzo vya mapato vya halmashauri ambavyo havijatekwa na serikali kuu then endelea kufafanua kama vilivyobaki vinaingiza pato la kutosha kujenga miundo mbinu mikubwa kama stendi.
 
Ndio garama ya kushtukizwaa kuongeaa. Alisikika jk kwenye msibaa wa mkap
 
Kodi zikikusanywa na halmashauri huwa zinabaki huko huko halmashauri au zinaenda mfuko mkuu? Rais anazunguka nchi nzima kutishia wananchi waliochagua wapinzani, huku akiwa kimya kabisa wagombea wa chama chake wakimwaga rushwa waziwazi kama njugu! Rais huyu namfananisha na hayati Mkapa aliyekuwa anapanda kwenye majukwaa ya siasa kuhubiri chuki dhidi ya wapinzani. Nina hakika nchi hii itaingizwa kwenye machafuko na rais huyu asiyejua mipaka ya kazi yake.
Wewe inaingia mfuko wa Kata,,,, na kata ndio inapanga maendeleo kupitia vikao vyao vya W D.C. hivoW.D.C ndio kuna m/kiti ambae ni Diwani. Na katibu ni mtumishi wa uma ambae ni mtendaji kata,,,, sasa km Diwani ni hovyo na Kara itakusa hovyo.
 
Kweli watanzania tufike mahali tukatae uongozi mbovu kama huu uliopo. Mtu anawaambia wananchi eti wasilipe kodi kisa hawana choo?! Hivi wananchi wakiamua kutolipa kodi kwasababu hakuna barabara, hospitali, maji, umeme, na huduma nyingine nyingi tu itakuwaje? Unawezaje kuwaambia wananchi eti watumie gari la mkurugenzi wa wilaya kama ambulance? Au watumie choo cha nyumbabi cha mkuu wa wilaya kama public toilet? hivi kweli mnaona tuna kiongozi hapa kweli? Tunaongozwa na mtu ambaye kwa maoni yangu hakufaa hata kuwa mkuu wa wilaya. Ndio maana sasa sishangai kwamba Lissu alifanyiwa aliyofanyiwa, inawezekana kwa mtu wa aina hii.
Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe.

Namaanisha seririkali ya CCM isichukue hata senti moja kutoka kwa wananchi wa majimbo hayo ya upinzani ili kama ikiwezekana majimbo hayo yajikusanyie kodi yenyewe na kujiletea maendeleo yenyewe.

Maana haina maana na ni unyanyasaji wa kisiasa kwamba kodi mnatoa wote bila kujali ni CCM au upinzani na mnaminywa kweli kweli kutoa kodi na mnatoa kwa moyo na uzalendo mkubwa halafu linapokuja swala la maendeleo mnaambiwa mkadai kwa mbunge wenu wa upinzani, hii si sawa na si haki nadhani tuwaachie na kodi zao pia.
Huwa nawaonea huruma sana wanaomtetea mitandaoni huyu jamaa. Haya MATAGA njooni kashaharibu jamaa huko Kilwa.

HUYU ANATAKIWA KUANDIKIWA EVERY SINGLE SENTENCE ANAYOTAKA KUONGEA NA WANANCHI.
Ndio maana mwaka huu CCM itapita kwa kasi sana sababu wananchi wengi wanaogopa kuchagua wapinzani watakosa maendeleo.
Halafu ni saa chache tu zimepita alipokuwa akilia, kumlilia Baba na Mlezi wa Demokrasia.
masisiemu hawajawahi kufanya haki, Jana zilikua ni kampeni za kulazimisha watu wayachague masisiemu!
Na wakati huo huo majimbo mengi yanayoongozwa na CCM ndio yanaongoza kwa umaskini, na ubovu wa miundombinu..
Ile kauli imemtoka si kwa bahati mbaya bali ni dhahiri anaipenda maana alitaka kuitumia kule Mvomero bahati nzuri akauliza mbunge ikaonekana ni wa ccm, hapo akatahayari.

Kama haleti maendeleo kwa majimbo ya upinzani naunga mkono hoja asichukue kodi
Magufuli ndiye mvunja katiba namba moja.
Umemwelewa alichokisema? Kazi ya ujenzi. Wa vitu Kama soko nk Ni ya halmashauri siyo serikali kuu

bajeti yake halmashauri hupitishwa na bunge la halmashauri ambalo Ni madiwani wa hiyo halmashauri na mbunge wa eneo likiwa chini ya spika wao ambaye Ni meya

sasa halmashauri Kama halmashauri haina maendeleo wa kulaumiwa Ni bunge ambalo huptisha bajeti.Sasa kwenye Hilo eneo tatizo Ni Hilo bunge sababu limejaa madiwani na mbunge wa upinzani ambao hupitishwa bajeti kihovyo hovyo bila kulenga maeneo wananchi wanataka
Upinzani wa akina Zitto Kabwe na Tundu Lissu wakuenda kuichafua nchi nani wa kuwachagua, na Mimi naongezea Mkiwachagua Vichaa kama hao waendelee na ukichaa wao. Mbona Majimbo Majimbo Mengine yanaongozwa na upinzani lakini miradi inakamilika.
 
Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe.

Namaanisha seririkali ya CCM isichukue hata senti moja kutoka kwa wananchi wa majimbo hayo ya upinzani ili kama ikiwezekana majimbo hayo yajikusanyie kodi yenyewe na kujiletea maendeleo yenyewe.

Maana haina maana na ni unyanyasaji wa kisiasa kwamba kodi mnatoa wote bila kujali ni CCM au upinzani na mnaminywa kweli kweli kutoa kodi na mnatoa kwa moyo na uzalendo mkubwa halafu linapokuja swala la maendeleo mnaambiwa mkadai kwa mbunge wenu wa upinzani, hii si sawa na si haki nadhani tuwaachie na kodi zao pia.
Achana na wagonjwa wa akili
 
Kweli watanzania tufike mahali tukatae uongozi mbovu kama huu uliopo. Mtu anawaambia wananchi eti wasilipe kodi kisa hawana choo?! Hivi wananchi wakiamua kutolipa kodi kwasababu hakuna barabara, hospitali, maji, umeme, na huduma nyingine nyingi tu itakuwaje? Unawezaje kuwaambia wananchi eti watumie gari la mkurugenzi wa wilaya kama ambulance? Au watumie choo cha nyumbabi cha mkuu wa wilaya kama public toilet? hivi kweli mnaona tuna kiongozi hapa kweli? Tunaongozwa na mtu ambaye kwa maoni yangu hakufaa hata kuwa mkuu wa wilaya. Ndio maana sasa sishangai kwamba Lissu alifanyiwa aliyofanyiwa, inawezekana kwa mtu wa aina hii.
Inafikilisha sana, Mimi nazani hata urafiki wake na Bashite na Musiba unatokana na principle inayosema "ukitaka kujua tabia ya mtu waangalie marafki zake" NI UKWELI USIO NA SHAKA RAIS WETU NI RAFIK YAKE MAKONDA( Ukibisha muulize Nape) na NIUKWELI USIO NA SHAKA KUWA MUSIBA ANALINDWA NA MAMLAKA ZA JUU KABSA KWENYE NCHI YETU( Ukibisha muulize,Kinana,Membe,Nape)
 
Tatizo

+ 5 years + ..........?years Ahead.
 
Back
Top Bottom