Yaaani zile siasa za fitina, giliba, utapeli zilizokuwa zinafanywa akiwa mbunge ili apite bila kupingwa, kazi copy nakuja kuzi paste kwenye level ya nchi. TAIFA LINA UHASAMA WA KIITIKADI KULIKO WAKATI WOWOTE. R.I.P Ben SaananeKama ataandikiwa utawezaje kujua ya moyoni mwake.
Moyoni mwake ni kwamba hapendi upinzani, cha ajabu ni kwamba anadai anampenda sana Baba wa taifa na anadai kuendana na misingi na misimamo ya Baba wa taifa, Baba wa taifa ndiye aliyetetea uwepo wa vyama vingi hadi anafariki alikuwa na msimamo kwamba vyama vya upinzani ni kioo cha chama dola kujitazamia.
Vyama vya upinzani vipo kisheria lakini huyu muheshimiwa anaviona kama ni vyama haramu mbaya zaidi kishaanza kufanya kampeni ya uchaguzi mkuu wa 2020 kabla ya wakati.
Kiongozi (Rais) Kuwashutumu wananchi juu ya haki yao ya kikatiba kumchagua mbunge (mtu) wanaye mtaka na kuwaambia wamfuate huyo awape maendeleo hiyo ni kuvunja katiba, abuse of power and black mailing kwa watu hao.
Inasikitisha sana.
Nina sababu 100 za kuikataa CCM mwaka huu na kuikubali Chadema , na moja za hiyo sababu ni sera yao ya Serikali za Majimbo.Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe.
Namaanisha seririkali ya CCM isichukue hata senti moja kutoka kwa wananchi wa majimbo hayo ya upinzani ili kama ikiwezekana majimbo hayo yajikusanyie kodi yenyewe na kujiletea maendeleo yenyewe.
Maana haina maana na ni unyanyasaji wa kisiasa kwamba kodi mnatoa wote bila kujali ni CCM au upinzani na mnaminywa kweli kweli kutoa kodi na mnatoa kwa moyo na uzalendo mkubwa halafu linapokuja swala la maendeleo mnaambiwa mkadai kwa mbunge wenu wa upinzani, hii si sawa na si haki nadhani tuwaachie na kodi zao pia.
Kuchafua nchi ni kwenda kuongelea mabaya ya nchi nje ya Nchi badala ya kupeleka mamlaka husikaUnajua tofauti ya kuichafua nchi au kuweka mabaya ya serekali hadharani? Au unadhani serikali ndio nchi?
Sasa ilivyo hadi fedha za Kilwa zinaenda serikali Kuu na Serikali kuu ndo wanapanga matumizi tena kwa kuangalia Tanzania nzima.
Hivi CCM akili zenu huwa zinaendaga wapi linapokuja suala la kumtetea JIWE kwa maneno yake dhidi ya binadamu mwenzako?Ndio wampe my ambaye akiagiza soko lijengwe linajengwa Sio anayesema ohh Mimi na madiwani wetu Sio CCM usitupangie Cha kufanya yutajiamulia wenyewe baraza la madiwani.Lakini wakiwa baraza la madiwani Ni CCM kazi inakuwa ndogo ninkuwaamurisha tu sababu pia Yeye Ni mwenyekiti wa CCM aweza livunja Hilo baraza la madiwani kea kuwatimua uanachama lakini likiwa la upinzani hawezi
Ndio maana inakuwa vigumu kushinikiza maendeleo maeneo yenye madiwani wengi wa upinzani
Na hapo ndo shida kubwa inapokuja. Ni upuuzi mtupu kwa kweli. CCM ni janga la TaifaWanapanga matumizi ya nchi nzima kwa kuangalia majimbo ya CCM na kuyabagua yale ya upinzani, (kwa kauli ya Magufuli mwenyewe).
Bwege alikuwa anadunduliza fedha za Mfuko wa Jimbo ili kutoa kipaka Mafuta kwenye Uchaguzi Mkuu 2020 na alikuwa amesahau matumiz ya Mfuko wa Jimbo. Si Bwege tu huyo.Unajua tofauti ya kuichafua nchi au kuweka mabaya ya serekali hadharani? Au unadhani serikali ndio nchi? Tuchukulie huu utetezi wako dhaifu ndio ukweli, je huyo Bwege amewahi kwenda nchi gani kuanika uhayawani wa serikali, mpaka aongee lugha za kizushi?
Sahihi ni sawa na wale wenyeviti wa mitaa waliopita bila kupingwa halafu hakuna wanachofanya.Ndio maana mwaka huu CCM itapita kwa kasi sana sababu wananchi wengi wanaogopa kuchagua wapinzani watakosa maendeleo.
Kuchafua nchi ni kwenda kuongelea mabaya ya nchi nje ya Nchi badala ya kupeleka mamlaka husika
Mfano Lisu Alikuwa mbunge hata mtu usipokuwa mbunge Ina mbunge .Kama una issue yeyoye ipeleke bungeni ipatiwe majibu ndani ya bunge .Sasa unakuta mtu mbunge Halafu anabweka nje. Ya bunge akiingia bungeni ansufyata kimya hayo anayobweka nje hajawahi bweka bungeni apewe majibu!!! Hili ndio tatizo la kuitwa wachafua nchi hawatumii proper channels ambazo hata wao wanazo kuwakilisha hoja zao bungeni
Kubweka nchi ndiko kumaitwa usaliti au kuchafua nchi au serikali
Bwege alikuwa anadunduliza fedha za Mfuko wa Jimbo ili kutoa kipaka Mafuta kwenye Uchaguzi Mkuu 2020 na alikuwa amesahau matumiz ya Mfuko wa Jimbo. Si Bwege tu huyo.
Kwani kilikuwa ni kilio hicho ?!. Hiyo ya kilwa ndiyo rangi yake halisiHalafu ni saa chache tu zimepita alipokuwa akilia, kumlilia Baba na Mlezi wa Demokrasia.
Kichaa ni wewe mwenyewe usieona kuwa majimbo mengi yanayoongozwa na Ccm ni masikini zaidi. Fanya uchunguzi uoneUpinzani wa akina Zitto Kabwe na Tundu Lissu wakuenda kuichafua nchi nani wa kuwachagua, na Mimi naongezea Mkiwachagua Vichaa kama hao waendelee na ukichaa wao. Mbona Majimbo Majimbo Mengine yanaongozwa na upinzani lakini miradi inakamilika.
Hampendi vibaya sana Bwege,ni mbunge pekee wa cuf aliyekataa kuunga juhudi huku akitaka kutoboa Siri hadharani waliomfata kumhonga na na ahadi alizokuwa anapewa. Wabunge kibao tu walitishwa hakuna kusema. Prof Assad utakumbukwa kwa utumishi uliotukuka(til 1.5)masisiemu hawajawahi kufanya haki, Jana zilikua ni kampeni za kulazimisha watu wayachague masisiemu!
Kumbuka wanufaika wakubwa wa Kodi za wote ni CCM mana wao ndio Mawaziri, Wabunge wengi,maspika, Wakuu wote wa Idara mbali, Mabalozi, na wateule wote wenye mishahara minono .Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe.
Namaanisha seririkali ya CCM isichukue hata senti moja kutoka kwa wananchi wa majimbo hayo ya upinzani ili kama ikiwezekana majimbo hayo yajikusanyie kodi yenyewe na kujiletea maendeleo yenyewe.
Maana haina maana na ni unyanyasaji wa kisiasa kwamba kodi mnatoa wote bila kujali ni CCM au upinzani na mnaminywa kweli kweli kutoa kodi na mnatoa kwa moyo na uzalendo mkubwa halafu linapokuja swala la maendeleo mnaambiwa mkadai kwa mbunge wenu wa upinzani, hii si sawa na si haki nadhani tuwaachie na kodi zao pia.
Sidhani kama kichwani uu mzima, jichunguze utagundua hata ktk family level haiko vyema kutokana na malezi yako ya hovyohovyo.Ndio wampe my ambaye akiagiza soko lijengwe linajengwa Sio anayesema ohh Mimi na madiwani wetu Sio CCM usitupangie Cha kufanya yutajiamulia wenyewe baraza la madiwani.Lakini wakiwa baraza la madiwani Ni CCM kazi inakuwa ndogo ninkuwaamurisha tu sababu pia Yeye Ni mwenyekiti wa CCM aweza livunja Hilo baraza la madiwani kea kuwatimua uanachama lakini likiwa la upinzani hawezi
Ndio maana inakuwa vigumu kushinikiza maendeleo maeneo yenye madiwani wengi wa upinzani
Kujitoa akili..ππππ Haya tunashukuru kwa kufafanua alichomaanisha.ππππUmemwelewa alichokisema? Kazi ya ujenzi. Wa vitu Kama soko nk Ni ya halmashauri siyo serikali kuu
bajeti yake halmashauri hupitishwa na bunge la halmashauri ambalo Ni madiwani wa hiyo halmashauri na mbunge wa eneo likiwa chini ya spika wao ambaye Ni meya
sasa halmashauri Kama halmashauri haina maendeleo wa kulaumiwa Ni bunge ambalo huptisha bajeti.Sasa kwenye Hilo eneo tatizo Ni Hilo bunge sababu limejaa madiwani na mbunge wa upinzani ambao hupitishwa bajeti kihovyo hovyo bila kulenga maeneo wananchi wanataka
Nchi hii mbona wabunge wengi ni ccm ,Je majimbo ya ccm yanamaendeleo mkuu?.Ndio wampe my ambaye akiagiza soko lijengwe linajengwa Sio anayesema ohh Mimi na madiwani wetu Sio CCM usitupangie Cha kufanya yutajiamulia wenyewe baraza la madiwani.Lakini wakiwa baraza la madiwani Ni CCM kazi inakuwa ndogo ninkuwaamurisha tu sababu pia Yeye Ni mwenyekiti wa CCM aweza livunja Hilo baraza la madiwani kea kuwatimua uanachama lakini likiwa la upinzani hawezi
Ndio maana inakuwa vigumu kushinikiza maendeleo maeneo yenye madiwani wengi wa upinzani