Hilo la nchi kuingia kwenye machafuko ni ndoto zako tu. Hakuna mwananchi mwenye fikra za kuchafua nchi.Kodi zikikusanywa na halmashauri huwa zinabaki huko huko halmashauri au zinaenda mfuko mkuu? Rais anazunguka nchi nzima kutishia wananchi waliochagua wapinzani, huku akiwa kimya kabisa wagombea wa chama chake wakimwaga rushwa waziwazi kama njugu! Rais huyu namfananisha na hayati Mkapa aliyekuwa anapanda kwenye majukwaa ya siasa kuhubiri chuki dhidi ya wapinzani. Nina hakika nchi hii itaingizwa kwenye machafuko na rais huyu asiyejua mipaka ya kazi yake.
Hilo la nchi kuingia kwenye machafuko ni ndoto zako tu. Hakuna mwananchi mwenye fikra za kuchafua nchi.
Mbona tatizo hilo hilo lilipojirudia Mkuranga hakuhusisha na mbunge kuwa CCM? Yaani correlation kati ya kufeli kwa manispaa inahusiana nini na wananchi kichagua mbunge wa upinzani? Mbona hakutaja uzembe wa madiwani wa CCM ambao ndio majority kwenye hilo jimbo la Kilwa?Umemwelewa alichokisema? Kazi ya ujenzi. Wa vitu Kama soko nk Ni ya halmashauri siyo serikali kuu
bajeti yake halmashauri hupitishwa na bunge la halmashauri ambalo Ni madiwani wa hiyo halmashauri na mbunge wa eneo likiwa chini ya spika wao ambaye Ni meya
sasa halmashauri Kama halmashauri haina maendeleo wa kulaumiwa Ni bunge ambalo huptisha bajeti.Sasa kwenye Hilo eneo tatizo Ni Hilo bunge sababu limejaa madiwani na mbunge wa upinzani ambao hupitishwa bajeti kihovyo hovyo bila kulenga maeneo wananchi wanataka
Wapi Rais alitaja madiwani? Ni lini CCM haina majority ya madiwani Kilwa baada ya wanaCUF kuunga juhudi? Kwanini asimuite pale meya wa CCM amuhoji ila lawama ni kwa mbunge? Anyway halmashauri zaidi ya 90 zipo chini ya CCM na zina umaskini mkubwa je ameshatimua wabunge/madiwani wangapi mpaka sasa?Ndio wampe my ambaye akiagiza soko lijengwe linajengwa Sio anayesema ohh Mimi na madiwani wetu Sio CCM usitupangie Cha kufanya yutajiamulia wenyewe baraza la madiwani.Lakini wakiwa baraza la madiwani Ni CCM kazi inakuwa ndogo ninkuwaamurisha tu sababu pia Yeye Ni mwenyekiti wa CCM aweza livunja Hilo baraza la madiwani kea kuwatimua uanachama lakini likiwa la upinzani hawezi
Ndio maana inakuwa vigumu kushinikiza maendeleo maeneo yenye madiwani wengi wa upinzani
Yule hatabirikagi Leo HIV ksho hivyi ukimkariri utaumiaHalafu ni saa chache tu zimepita alipokuwa akilia, kumlilia Baba na Mlezi wa Demokrasia.
Sasa ulitaka tumtetee Mbowe au!? Au Lissu!?Wewe ni kama ni hivyo kwa nini anasema "niliwaambia mnichagulie MTU anayeweza kunisikiliza"?
Mnamtetea sana mpaka mnapitiliza ndio maana hadi JK anaamua kuingilia kati kuwafundisha ili muache ujinga huo
Tuna mtawala hatuna kiongozi!Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe.
Namaanisha seririkali ya CCM isichukue hata senti moja kutoka kwa wananchi wa majimbo hayo ya upinzani ili kama ikiwezekana majimbo hayo yajikusanyie kodi yenyewe na kujiletea maendeleo yenyewe.
Maana haina maana na ni unyanyasaji wa kisiasa kwamba kodi mnatoa wote bila kujali ni CCM au upinzani na mnaminywa kweli kweli kutoa kodi na mnatoa kwa moyo na uzalendo mkubwa halafu linapokuja swala la maendeleo mnaambiwa mkadai kwa mbunge wenu wa upinzani, hii si sawa na si haki nadhani tuwaachie na kodi zao pia.
Wapi Rais alitaja madiwani? Ni lini CCM haina majority ya madiwani Kilwa baada ya wanaCUF kuunga juhudi? Kwanini asimuite pale meya wa CCM amuhoji ila lawama ni kwa mbunge? Anyway halmashauri zaidi ya 90 zipo chini ya CCM na zina umaskini mkubwa je ameshatimua wabunge/madiwani wangapi mpaka sasa?
Then huwa anasema maendeleo hayana chama? Funny
Hata mimi sishauri hilo la machafuko na wala siliungi mkono na ninapingana nalo vikali sana ,Hilo la nchi kuingia kwenye machafuko ni ndoto zako tu. Hakuna mwananchi mwenye fikra za kuchafua nchi.
Usipindishe maneno kabisa kauli yake iko very clear haihitaji tafsiri za upotoshaji kama zako mkuu.Umemwelewa alichokisema? Kazi ya ujenzi. Wa vitu Kama soko nk Ni ya halmashauri siyo serikali kuu
bajeti yake halmashauri hupitishwa na bunge la halmashauri ambalo Ni madiwani wa hiyo halmashauri na mbunge wa eneo likiwa chini ya spika wao ambaye Ni meya
sasa halmashauri Kama halmashauri haina maendeleo wa kulaumiwa Ni bunge ambalo huptisha bajeti.Sasa kwenye Hilo eneo tatizo Ni Hilo bunge sababu limejaa madiwani na mbunge wa upinzani ambao hupitishwa bajeti kihovyo hovyo bila kulenga maeneo wananchi wanataka
Ushauri wangu kuhusu kodi uzingatiwe pia katika majibu hayo ili kuepusha msuguano na ubaguzi.Ndio wampe my ambaye akiagiza soko lijengwe linajengwa Sio anayesema ohh Mimi na madiwani wetu Sio CCM usitupangie Cha kufanya yutajiamulia wenyewe baraza la madiwani.Lakini wakiwa baraza la madiwani Ni CCM kazi inakuwa ndogo ninkuwaamurisha tu sababu pia Yeye Ni mwenyekiti wa CCM aweza livunja Hilo baraza la madiwani kea kuwatimua uanachama lakini likiwa la upinzani hawezi
Ndio maana inakuwa vigumu kushinikiza maendeleo maeneo yenye madiwani wengi wa upinzani
Wewe ndio unajaribu kupotosha. Wananchi tumemuelewa Rais na Octoba hatutafanya tena makosa kuchagua wahuni kwenye ngazi yoyote ile. Iwe Ubunge au Udiwani.Usipindishe maneno kabisa kauli yake iko very clear haihitaji tafsiri za upotoshaji kama zako mkuu.
Ushauri wangu kuhusu kodi uuzingatie pia katika majibu yako maana huko nako wanalipa kodi bila kujali ni wana CCM au upinzaniWewe ndio unajaribu kupotosha. Wananchi tumemuelewa Rais na Octoba hatutafanya tena makosa kuchagua wahuni kwenye ngazi yoyote ile. Iwe Ubunge au Udiwani.
Kwa tunao mfahamu tangu Shuleni tunajua kwamba alicho kiongea ndicho kipo moyoni.Ile kauli imemtoka si kwa bahati mbaya bali ni dhahiri anaipenda maana alitaka kuitumia kule Mvomero bahati nzuri akauliza mbunge ikaonekana ni wa ccm, hapo akatahayari.
Kama haleti maendeleo kwa majimbo ya upinzani naunga mkono hoja asichukue kodi
Wewe ndio unajaribu kupotosha. Wananchi tumemuelewa Rais na Octoba hatutafanya tena makosa kuchagua wahuni kwenye ngazi yoyote ile. Iwe Ubunge au Udiwani.
Kongwa kukoje?Upinzani wa akina Zitto Kabwe na Tundu Lissu wakuenda kuichafua nchi nani wa kuwachagua, na Mimi naongezea Mkiwachagua Vichaa kama hao waendelee na ukichaa wao. Mbona Majimbo Majimbo Mengine yanaongozwa na upinzani lakini miradi inakamilika.
Hujui tofauti ya nchi na serikali, Kama serikali inafanya mabaya isemwe popote pale!Kuchafua nchi ni kwenda kuongelea mabaya ya nchi nje ya Nchi badala ya kupeleka mamlaka husika
Mfano Lisu Alikuwa mbunge hata mtu usipokuwa mbunge Ina mbunge .Kama una issue yeyoye ipeleke bungeni ipatiwe majibu ndani ya bunge .Sasa unakuta mtu mbunge Halafu anabweka nje. Ya bunge akiingia bungeni ansufyata kimya hayo anayobweka nje hajawahi bweka bungeni apewe majibu!!! Hili ndio tatizo la kuitwa wachafua nchi hawatumii proper channels ambazo hata wao wanazo kuwakilisha hoja zao bungeni
Kubweka nchi ndiko kumaitwa usaliti au kuchafua nchi au serikali
So sad.Na wakati huo huo majimbo mengi yanayoongozwa na CCM ndio yanaongoza kwa umaskini, na ubovu wa miundombinu..