classic king
Senior Member
- Mar 19, 2022
- 155
- 350
khaa wameweka na tupicha kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatukutegemea kurudi kwa waliyoyapitiaKinasema......
'Wamerudi Aiseeee"
Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia.
Karibuni.
Inamaana Jiwe, a.k.a bludoza alishindwa kuwabluza hawa pamoja na ujangili wao, ujambazi wao, u-land load wao?Inaweza kumaanisha, (wale waliotaka kupotezwa kwa hila na maguvu makuu) wamerudia aiseee (kwa uwezo wa Muumba)!
Zaidi ya hapo tutaishiaa Kulalamika tuUkimuuliza Musiba na Ally Hapi watakupa majibu mujarabu na wanajisikiaje saa hizi.
Ni heri ya kuwa ma viongozi watoto wa mjini kuliko kuongozwa na washamba.
Tawala zote tumeziishi, ogopa mtu anayetaka watu wawe maskini yeye peke yake ndio awe na pesa, halafu kuna wajinga wakaaminishwa kuitwa wanyonge na maskini ndio sifa na uzalendo.
Hawa hawa ndio wanafaa, acha malalamiko, jipange kwenye channel, tengeneza connection na wewe ule mema ya nchi.
Sasa hivi njia ya tandale ina "sheli tatu au nne. Na pale Mgabe kuingia simu 200 kwenye kona pale nyumba 2 zishavunjwa, nadhani ni sheli.Kuna uwezekano mkubwa Sana sheli za mafuta kujengwa ata kwenye open space na pengine kwenye mlango wa ikulu maana waliorudi wizar ya aridhi wanaimiliki
Hakuna utofaiti na vyama confine, ni act peke yake bado sijajua au sijaona undumilakuwili wake. Lkn chadema wasiongee kabisaaaa,.....walishangilia lowassa alivyoitwa fisadi, wakashangilia na kudeki barabara alipokinunua chadema. Tena km kuna chama chafaa kuogopwa ni chadema......Kwa unafiki hapo ndo nyumbaniOperesheni rejesha wahuni, hahaaa hiki chama bana , waliowaponda sasa wanawasifia, kimsingi wanakua kama benderra tuuuuuu fuata upepo hakuna wanachokiamini hawa. Mtu akifukuzwa wanashangilia, akirudishwa wanashangilia, wakimwita muhuni msaliti, wanashangilia heeeeeeeeeeeeee , sasa hawa wanaamini kwenye nini?
Kila mtu anauziri na ubaya wake. Uzuri ukimpamba na kuonyesha umuhimu wake ubaya ukionyesha ushetwani wake. Kuna mambo jiwe asingeyaingiza kwenye siasa zake kila mtu angemkubali. Ubaguzi, kunyanyasa wapinzani,mauaji ya raia, utekaji wa waziwazi ilikua ukiona noa nyeusi mtu unakimbia, kubambikia watu kesi, upendeleo na matakataka mengi yataendelea kumchafua huyo jamaa hata huko alikoKuelewa mbongo anataka nini ni kazi kwelikweli.
Kipindi cha JK tulikua tunamponda na kumtukana kwelikweli, majina yote ya hovyohovyo tukampachika tukafikia mpaka kutamani siku moja nchi yetu itawaliwe kidikteta.
Mungu si Athumani akasikia kilio chetu akatuletea Jiwe tena Jiwe kwelikweli hacheki kabisa na kima yoyote, Wabongo tukaanza vilio na kusaga meno, tukampachika majina ya hovyohovyo lakini Mwamba alifunga macho na akaziba kabisa masikio yake.
Kelele zikaanza mpaka mjengoni za kummisi JK na kila sifa nzuri akapewa na walewale waliokua wanambeza, wanamkebehi na kumtukana.
Leo hii baada ya Mwamba kutangulia mbele za haki walewale waliokua wanambeza, wanamkebehi na kumtukana JPM ndio haohao wamekua wapiga zumari wa kumsifia na kumuona yeye ndie alikua haswa mkombozi wa hii nchi, wamegeukia upande wa pili kumtukana na kumsimanga Mama pamoja na viongozi waliopita wa awamu ya nne.
Mimi ninachosema Mama aendelee tu kuupiga mwingi asisikilize kelele za chura maana chura akiwa majini analalamika maji ni ya baridi sana halafu pia ni machafu yanamsababishia ngozi yake kushambuliwa na wadudu ndio maana mwili wake unapata mabaka mabaka,
Chura huyohuyo akiwa nchi kavu pia analalamika nchi kavu jua ni kali sana linamchoma mpaka ngozi yake inababuka na mwili wake wote unajaa mabaka mabaka.h
Kwahiyo Mbowe ndio hayupo kimaslahi?
Nani asiyejua kinana ni mwizi na Jangili wa taifa? Tutegemee biashara ya meno ya tembo na faru ikirudi kwa kasi ya ajabu.
Me sijui, ninachojua Kinana ni gwiji wa siasa za Tanzania
Huyu mwamba atarudi lini 'aisee'?😁😁😁
View attachment 2171967