si ndio,,sema alituma na kufutaπ€£π€£Heee tena hivyooo??? π π π
π€£ π€£ π€£na wivu huu utaniua kwenda zako,,,wacha nijaribu kufocus kwa hawa wawili Mpaji Mungu na Manyanza naeza pata mmoja,,,kama wamepauka nitawapaka mafuta yangu.
katunukiwa nini,,na ngoja aje atoe shuhuda hapa π€£π€£π€£ π€£ π€£
Mpaji Mungu tayari kashatunukiwa bado Mimi nitunuku tu π€π€π€
Niku tag hapo juu? Mbona ka testify kwenye huu uzi?katunukiwa nini,,na ngoja aje atoe shuhuda hapa π€£π€£
Usijali kpnz,,,wakikkuzingua nitakuwepo hapa kama bega lako lq kuegemea, leso yako ya kukufuta machozina wivu huu utaniua kwenda zako,,,wacha nijaribu kufocus kwa hawa wawili Mpaji Mungu na Manyanza naeza pata mmoja,,,kama wamepauka nitawapaka mafuta yangu.
Hebu tag kwanza nishuhudieNiku tag hapo juu? Mbona ka testify kwenye huu uzi?
yani hata hujali walau kunililia nisiende hatakama kinafikiUsijali kpnz,,,wakikkuzingua nitakuwepo hapa kama bega lako lq kuegemea, leso yako ya kukufuta machozi
Post yako namba 45 na post namba 48. Nipe huo ubavu niumiliki π€π€π€Hebu tag kwanza nishuhudie
Afu mwandiko wake haujifichi ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Haki ya Mungu hakuna mtu anafurahiaga nyuzi zako kama mimi. Nazipenda mno.
Evelyn Salt tumemkosa Kisandu. Mungu katupa Maua.
Ngoja nikaangalie tenaAlooh anaharibu kabisaaa, Mzee mwenzangu anataka kukuharibia kwenye gari la mishahara ya BOT, TRA, TANAPA, TAKUKURU, BANDARI. π€£π€£π€£
Hii nmetag ili aone usije ukafutaπππ ugomvi umenunuliwa huku si mnaona Manyanza na Mpaji MunguIla kusema cha ukweli nimesoma hata sijaelewa. Mleta mada na wewe hata hueleweki ulichoandika, ndomana wanakuita garasa π
Hebu soma mwenyewe uone...
π€£ π€£ π€£Ila kusema cha ukweli nimesoma hata sijaelewa. Mleta mada na wewe hata hueleweki ulichoandika, ndomana wanakuita garasa π
Hebu soma mwenyewe uone...
Huo mtego kama hujuiπ€£π€£yani hata hujali walau kunililia nisiende hatakama kinafiki
Huyo Mpaji Mungu mwenyewe mtambo ππππ€£ π€£ π€£
Mleta mada kampenda Mpaji Mungu
ishu ile ile ya mguu alotuma jamvini au kuna kingine au umewaza mguu ganiππ€£π€£πPost yako namba 45 na post namba 48. Nipe huo ubavu niumiliki π€π€π€
Mtambo gn sheikh?Huyo Mpaji Mungu mwenyewe mtambo πππ
Ndugu yangu nakupenda kinoooma, kwenye nafasi ya udugu pale kwenye ventriko ya juu wewe ni nambari 1.Ndugu yangu makaveli10 ananipenda kuliko wewe!