sidanganyiki ng'ooo πHuo mtego kama hujuiπ€£π€£
Nimeipenda hiiSweetyCandy mamii pole sana but huyo anakuonea wivu ndio maana anakuita majina ya ovyo but mpotezee hakuongezei chochote kwenye maisha yako fanya unachoona kinakupa amani ya moyo wanadamu wasikurudishe nyuma, jipende kwanza wewe, jipe thamani wewe automatically nao watakuja kuheshimu.
Acha uchonganishi na wewe! Dunia hii ya leo bado upo kizamani namna hiyo?!Hii nmetag ili aone usije ukafutaπππ ugomvi umenunuliwa huku si mnaona Manyanza na Mpaji Mungu
Ni story ndefu jana kaambiwa anapishana na gari la mshahara πππishu ile ile ya mguu alotuma jamvini au kuna kingine au umewaza mguu ganiππ€£π€£π
ππππππM bado npo BCAcha uchonganishi na wewe! Dunia hii ya leo bado upo kizamani namna hiyo?!
Mi bado msinisahau vijanaπ€£ π€£ π€£
Mpaji Mungu tayari kashatunukiwa bado Mimi nitunuku tu π€π€π€
π€£π€£ππ WoooiiiNi story ndefu jana kaambiwa anapishana na gari la mshahara πππ
Ila mshenga wangu,,jana ulinisuta ile mbaya aisee,,daah sio poa,,au ndo ulikuwq unamfurahisha ephen_Ndugu yangu nakupenda kinoooma, kwenye nafasi ya udugu pale kwenye ventriko ya juu wewe ni nambari 1.
Nakupenda sana! Sasa Etugrul Bey anaona wivu kila muda ananifata na mimi nishamwambia wewe kwangu ni namba 1βΊοΈNdugu yangu nakupenda kinoooma, kwenye nafasi ya udugu pale kwenye ventriko ya juu wewe ni nambari 1.
Umetisha πππππππM bado npo BC
Umeitiwa gari la mishahara ukakimbia π€£π€£π€£Mi bado msinisahau vijana
ila sijamaanisha uchonganishi ndugu angu ni katika moja na mbili tuππUmetisha π
Sina shida na hilo mumy kabisa yan,,,tatizo sikujua kama mshenga wangu anajua kusuta namna ile,,,Nakupenda sana! Sasa Etugrul Bey anaona wivu kila muda ananifata na mimi nishamwambia wewe kwangu ni namba 1βΊοΈ
Mkuu nlikuwa nakimbia foleni ya karume πUmeitiwa gari la mishahara ukakimbia π€£π€£π€£
Unataka nini gari la takataka???
Humu mbona sielewi mkuu maana mlengwa ni wewe.Hebu nipe a b c jamaanguMtambo gn sheikh?
π€£π€£Akifungua BoT naverify accountBasi limpaji mungu limefunguliwa uzi, limefuraaaaahi... Bichwa kubwa kama nyumba hapo, leo Ataenda kuandika kwenye diary huyu mtambo πππππππππππ
Cc Mpaji Mungu