The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Mauaji ya kimbari ya Manazi yananikumbusha haya ya sasa ya Waisraeli wakiongozwa na Hitler wao Benjamin Netanyahu. Je kweli kuna tofauti kati ya Adolf na Benjamin Hitler Netanyahu?
View attachment 3467643
Mauaji ya kimbari ya Manazi yananikumbusha haya ya sasa ya Waisraeli wakiongozwa na Hitler wao Benjamin Netanyahu. Je kweli kuna tofauti kati ya Adolf na Benjamin Hitler Netanyahu?
View attachment 3467644
Hitler alikua sahihi kudeal na hawa jamaa
Ndio. Hitler kama watu bila sababu. Netanyahu anaua watu kwasababu. Ambayo kila mtu aliionaView attachment 3467643
Mauaji ya kimbari ya Manazi yananikumbusha haya ya sasa ya Waisraeli wakiongozwa na Hitler wao Benjamin Netanyahu. Je kweli kuna tofauti kati ya Adolf na Benjamin Hitler Netanyahu?
View attachment 3467644
Watu buku2 mdau mmmhAskari wa Amin alivuka mpaka illegally akaja kunywa Gongo kagera.baada ya kulewa akafyatua Lisa's kitendo hicho Mwalim alikichukulia ni uchokozi usio vumilika na Nchi ikaingia vitani.
Yule askari hakuua Mtu wala kujeruhi mtu.
Hamas waliingia ndani ya Ardhi israel kuua,kubaka na watoto kuwekwa kwenye Oven kama mishikaki.watu zaidi ya elfu mbili wakafa.
ajabu ni kwamba; waliosampoti mwalimu kuingia vitani katika uchokozi ambao haukuchukua uhai wa mtu ndiyo wanaomlaumu Netanyahu kuikabili israel in deservedly way baada ya kuua maelfu ya waisrael.
ukiondoa unafiki na upumbavu,hakuna mtu atailaum Israel kwa inachokifanya.
Mkuu na wewe ukaamini chanzo cha vita yaa Kagera ni askari mnywa gongo? Unaijua Mogadishu accords? Unajua nini kuhusu Obote?Askari wa Amin alivuka mpaka illegally akaja kunywa Gongo kagera.baada ya kulewa akafyatua Lisa's kitendo hicho Mwalim alikichukulia ni uchokozi usio vumilika na Nchi ikaingia vitani.
Yule askari hakuua Mtu wala kujeruhi mtu.
Hamas waliingia ndani ya Ardhi israel kuua,kubaka na watoto kuwekwa kwenye Oven kama mishikaki.watu zaidi ya elfu mbili wakafa.
ajabu ni kwamba; waliosampoti mwalimu kuingia vitani katika uchokozi ambao haukuchukua uhai wa mtu ndiyo wanaomlaumu Netanyahu kuikabili israel in deservedly way baada ya kuua maelfu ya waisrael.
ukiondoa unafiki na upumbavu,hakuna mtu atailaum Israel kwa inachokifanya.
Yule ndio alikua kiboko yao!! cha ajabu Ujerumani inazidi kuwa tajiri tu wakati tuliambiwa eti unalaaniwa ukiilaani Israel!!Hitler alikua sahihi kudeal na hawa jamaa
Gaidi ni nani? Au hujui hata wayahudi walianzisha jeshi lao kupambana na Hitler na wakasagwa kama kawaida!! Ila ingekua hilo jeshi ni la wapalestina wangeitwa magaidi.Tofauti ni kuwa hawa ni magaidi, wale hawakuwa magaidi
Gaidi ni nani huwa sielewi!! Mfano Israel kutuma watu kuua viongozi wa Iran, Syria, Lebanon n.k sio ugaidi na hata kuweka mabomu kwenye simu za Lebanon sio ugaidi? Nisaidie definition ya ugaidi.Ipo tofauti. Ni mpaka uje uvamiwe na magaidi ndo utaelewa jambo hili. Magaidi siyo watu ni wanyama wale. Na wanasikia kwa style hiyo hiyo. Ukilegeza tu umekwisha. Israel wapo sahihi kabisa.
Kwa sababu gani? Maana hiyo ardhi waliovamia ilikua sehemu ya palestina ila Israel waliipora!! Na kabla ya October 7 wapalestina kwa malaki walishauwawa tokea kuanzishwa kwa taifa la israel.Hamas waliingia ndani ya Ardhi israel kuua,
Kama Hamas ndio wameua, kwanini Israel waue raia na sio hamas? Kwani kila mpalestina ni Hamas? Mbona West Bank hakuna hamas kabisa na bado wanauwawa!!Hawa magaidi wa Hamas wameua mpaka vitoto vya Kitanzania ndio vilikuwa vinajitafuta kielimu lakini ndoto zao na za wazazi wao zikakatishwa galfla
Kwani moKama Hamas ndio wameua, kwanini Israel waue raia na sio hamas? Kwani kila mpalestina ni Hamas? Mbona West Bank hakuna hamas kabisa na bado wanauwawa!!
Hawa walitafuta tu justification ya kukamilisha walichokitaka kwa miaka mingi.
kwani serikari ya mogadishu ipo chini ya hamasKwa sababu gani? Maana hiyo ardhi waliovamia ilikua sehemu ya palestina ila Israel waliipora!! Na kabla ya October 7 wapalestina kwa malaki walishauwawa tokea kuanzishwa kwa taifa la israel.
Kingine kama hamas waliua raia kwanini hao Israel wasiwasake hamas wanaishia kuua raia. Maana kama ni hivi, basi hata Kenya baada ya kuvamiwa na Al shabaab wangeenda tu Mogadishu na kuanza kuua wamama na watoto kuna haja gani ya kuanza kuwasaka Al Shabaab badala ya kuua tu kila msomali anayepita mbele yao!!
Tofauti ya serikali na magidi ni nini sasa!!
Hakuna raia wanaouawa na Izrael zile ni war propaganda. Izrael ni mtu mwenye target ya Hali ya juu analenga tuu wanaohusika. Mfano mzuri angalia mashambulizi yake Iran na Syria. Hao raia ama wanauawa na Hamas wenyewe kwa bahati mbaya au makusudi ili kusaka public sympathyKama Hamas ndio wameua, kwanini Israel waue raia na sio hamas? Kwani kila mpalestina ni Hamas? Mbona West Bank hakuna hamas kabisa na bado wanauwawa!!
Hawa walitafuta tu justification ya kukamilisha walichokitaka kwa miaka mingi.