zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Waarabu kina nani? Iran sio waarabu mbona!! Kuhusu kubaka na kulawiti mbona Israel imelawiti watu kibao gaza au upo dunia ganiTofautisha kuwa jirani na kuwa ndani yake.
Besides, waarabu hawana utaratibu wa kuchagua kuua askari pekee vitani. Ndiyo sababu kwenye tukio la October 7, Hamas waliua, kubaka, kulawiti na kuteka hata watoto wadogo, wamama na wazee
U.N. report accuses Israeli forces of "genocidal acts," sexual violence in Gaza and West Bank
Israel has railed against a U.N. commission accusing its troops of sexual violence in Gaza as an "anti-Semitic, rotten, terrorist-supporting" body.