Kwa kinachoendelea Gaza, kuna tofauti kati ya Adolf Hitler na Benjamin Netanyahu?

Kwa kinachoendelea Gaza, kuna tofauti kati ya Adolf Hitler na Benjamin Netanyahu?

Kama Hamas ndio wameua, kwanini Israel waue raia na sio hamas? Kwani kila mpalestina ni Hamas? Mbona West Bank hakuna hamas kabisa na bado wanauwawa!!

Hawa walitafuta tu justification ya kukamilisha walichokitaka kwa miaka mingi.
October 7 wengi waliokufa walikuwa wanawake na watoto wa Israel, na Gaza mlishangilia sana
 
Gaidi ni nani huwa sielewi!! Mfano Israel kutuma watu kuua viongozi wa Iran, Syria, Lebanon n.k sio ugaidi na hata kuweka mabomu kwenye simu za Lebanon sio ugaidi? Nisaidie definition ya ugaidi.

Pia wana support majeshi ya RAF yanaochinja watu weusi huko darfur, pia wana support HTS yaani tawi la Al qaed Syria ili kumpindua Al Assad, bila kusahau wana support PKK inayopambana na serikali ya Uturuki!! Je huo sio ugaidi.

Embu mnisaidie
Sifa ya kwanza ya mtu kuwa gaidi lazima uwe kobazi
 
Magaidi lazima yadhibitiwe kwa namna yoyote Ile ikibidi hata kuifuta Gaza kwenye uso wa Dunia.
 
Niko pamoja na yeyote anayekataa kuonewa
Nalog off Z
 
Yani uvamie uue,ubake na uteke watu afu usamehewe?
Sasa si mkaue hamas why muue wananchi? Kuna tofauti gani sasa na Hitler?

Ni sawa na Al Shabaab wale wa msumbiju eti wavamie Tunduru alafu JWTZ ianze tu kulipua makazi ya watu, sasa ndio nini? Wananchi wamekosea wapi? Wenye kosa si hamas au kuna raia amebeba silaha hata siku moja?
 
Alilaaniwa,huoni alishindwa vita ya dunia akanyanganywa makoloni yake,na kushuka kiuchumi,kaja kusimama miaka ya karibuni baada ya kutubu.

Kobazi Mungu wa Israel ndio Mungu,sio huyo mungu mfu allah.
Katubu lini? mbona Poland ililinda wayahudi ila iliporomoka mpaka leo!! Hao Saudia, UAE, Qatar mbona ni matajiri wa kutupwa licha ya kuilaani miaka na miaka.

Na hao China hawana dini kabisa mbona nchi yao inazidi kupaa!! je ni mungu yupi kawasaidia? yule wa wayahudi au wakwao kwao tu?
 
Mkuu,
Hivi ukienda ukajichimbia ndani ya hospitali ukawa unarusha mabomu, mizinga na maroketi kutokea humo na kuuwa watu wasio na hatia, wataendelea kutazama tu kwa kuhofia kuuwa wanawake na watoto ulioamua kuwatumia kama ngao?
Mbona Israel iliporusha makombora kwenda Iran ilikua ina launch karibu na hospitali walipolipua hospitali Netanyahu akalia lia kuwa ni ugaidi!! Ila wakifanya Hamas ni halali kulipua hospitali?

Duh
 
Mbona Israel iliporusha makombora kwenda Iran ilikua ina launch karibu na hospitali walipolipua hospitali Netanyahu akalia lia kuwa ni ugaidi!! Ila wakifanya Hamas ni halali kulipua hospitali?

Duh
Karibu na hospital gani wakati mashambulizi yote yalitekelezwa kwa ndege zikiwa angani ndani ya Iran??
 
Kuna kambi ya silaha hapo pembeni tu ya hospitali. Au ndio mkuki kwa nguruwe
Tofautisha kuwa jirani na kuwa ndani yake.
Besides, waarabu hawana utaratibu wa kuchagua kuua askari pekee vitani. Ndiyo sababu kwenye tukio la October 7, Hamas waliua, kubaka, kulawiti na kuteka hata watoto wadogo, wamama na wazee
 
Back
Top Bottom