Kwa kinachoendelea Gaza, kuna tofauti kati ya Adolf Hitler na Benjamin Netanyahu?

Gaidi ni nani huwa sielewi!! Mfano Israel kutuma watu kuua viongozi wa Iran, Syria, Lebanon n.k sio ugaidi na hata kuweka mabomu kwenye simu za Lebanon sio ugaidi? Nisaidie definition ya ugaidi.

Pia wana support majeshi ya RAF yanaochinja watu weusi huko darfur, pia wana support HTS yaani tawi la Al qaed Syria ili kumpindua Al Assad, bila kusahau wana support PKK inayopambana na serikali ya Uturuki!! Je huo sio ugaidi.

Embu mnisaidie
Wao wakifanya ugaidi unaitwa inteligensia.

Waarabu wakifanya unaitwa terrorism.
 
Yule ndio alikua kiboko yao!! cha ajabu Ujerumani inazidi kuwa tajiri tu wakati tuliambiwa eti unalaaniwa ukiilaani Israel!!
Alilaaniwa,huoni alishindwa vita ya dunia akanyanganywa makoloni yake,na kushuka kiuchumi,kaja kusimama miaka ya karibuni baada ya kutubu.

Kobazi Mungu wa Israel ndio Mungu,sio huyo mungu mfu allah.
 
Hakuna raia wanaouawa na Izrael zile ni war propaganda. Izrael ni mtu mwenye target ya Hali ya juu analenga tuu wanaohusika. Mfano mzuri angalia mashambulizi yake Iran na Syria. Hao raia ama wanauawa na Hamas wenyewe kwa bahati mbaya au makusudi ili kusaka public sympathy

Unafatilia taarifa za habari Mkuu?

Israeli wanarusha makombora kama wapumbavu kwenye Majengo ya Raia ndo useme wanashabaha.

Wanacho kifanya wamekusudia ku depopulate gaza ili waendelee kujimegea ardhi
 
Gaidi ni nani huwa sielewi!! Mfano Israel kutuma watu kuua viongozi wa Iran, Syria, Lebanon n.k sio ugaidi na hata kuweka mabomu kwenye simu za Lebanon sio ugaidi? Nisaidie definition ya ugaidi.
Ukiweka udini pembeni na kuacha unafiki utajua kuwa yote hayo Israel kafanya kwa kujilinda (defensive) baada ya kuwa amevamiwa. Israel huwa hawaendi kuanzisha uvamizi mahali ambapo hakuna tishio kwao.

Ukiangalia ile "katiba" ya Hamas (Hamas Charter), kuna mahali inasomeka kuwa Israel haitakiwi kuwepo juu ya uso wa dunia, na Hamas wamejipa jukumu la kuifuta (wakisaidiwa na washirika wao), na ndo sababu huwa wanafanya uvamizi na mauaji ya kutisha kama yale ya October 7.. Kwa kifupi hayo yanayoendelea sasa ni "mtoto kautaka mwenyewe...
 
Jaribu kuwaza shambulio la October 7 lingefanikiwa asilimia 100 kungekuwa na Israel leo? Au mauaji ya Kimbari ni ya upande mmoja tu?
Imagine siku moja mnaokota maiti 1200 je wangefanya siku ata 3 tu magadi wa Hamas wangechinja 10k

Israel kwa siku anaua 50
 
Hakuna raia wanaouawa na Izrael zile ni war propaganda. Izrael ni mtu mwenye target ya Hali ya juu analenga tuu wanaohusika. Mfano mzuri angalia mashambulizi yake Iran na Syria. Hao raia ama wanauawa na Hamas wenyewe kwa bahati mbaya au makusudi ili kusaka public sympathy
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head disgusting 🤮 🤮 🤮
 
Ukiweka udini pembeni na kuacha unafiki utajua kuwa yote hayo Israel kafanya kwa kujilinda (defensive) baada ya kuwa amevamiwa. Israel huwa hawaendi kuanzisha uvamizi mahali ambapo hakuna tishio kwao.

Ukiangalia ile "katiba" ya Hamas (Hamas Charter), kuna mahali inasomeka kuwa Israel haitakiwi kuwepo juu ya uso wa dunia, na Hamas wamejipa jukumu la kuifuta (wakisaidiwa na washirika wao), na ndo sababu huwa wanafanya uvamizi na mauaji ya kutisha kama yale ya October 7.. Kwa kifupi hayo yanayoendelea sasa ni "mtoto kautaka mwenyewe...
Kabla ya October 7 kulikuwa na nini, wale hawajaamka wakaanza kuuwa watu ovyo, shida wengine wameanza kufuatilia huu mgogoro juzi , huu mgogoro upo miaka mingi na sio juzi .
Na wanachogombania ni ardhi hakuna cha dini
 
Kwa sababu gani? Maana hiyo ardhi waliovamia ilikua sehemu ya palestina ila Israel waliipora!! Na kabla ya October 7 wapalestina kwa malaki walishauwawa tokea kuanzishwa kwa taifa la israel.

Kingine kama hamas waliua raia kwanini hao Israel wasiwasake hamas wanaishia kuua raia. Maana kama ni hivi, basi hata Kenya baada ya kuvamiwa na Al shabaab wangeenda tu Mogadishu na kuanza kuua wamama na watoto kuna haja gani ya kuanza kuwasaka Al Shabaab badala ya kuua tu kila msomali anayepita mbele yao!!

Tofauti ya serikali na magidi ni nini sasa!!
Na wengi ni mateka , kwa makosa yasiyoeleweka
 
Kabla ya October 7 kulikuwa na nini, wale hawajaamka wakaanza kuuwa watu ovyo, shida wengine wameanza kufuatilia huu mgogoro juzi , huu mgogoro upo miaka mingi na sio juzi .
Na wanachogombania ni ardhi hakuna cha dini
Mkuu,
Tafuta kitu kinaitwa Hamas Charter usome ndo utaelewa.

Magaidi wa Hamas hawataki suluhu yoyote wala amani ila wanataka jambo moja tu, kufuta taifa la Israeli, na hilo jambo haliwezekani
 
Sawa Hamas wabaya, mbona wanauwawa wamama na watoto? Wana hatia gani? Tofauti ya Serikai ya Israel na Hamas ni nini?
 
Jaribu kuwaza shambulio la October 7 lingefanikiwa asilimia 100 kungekuwa na Israel leo? Au mauaji ya Kimbari ni ya upande mmoja tu?
Kwahiyo magaidi wakiua raia basi na serikali inaenda kuua raia? Sasa kuna tofauti gani ya serikali na wahuni kama mnafanya yale yale. Meaning Hitler ni sawa tu na Netanyahu
 
Hakuna raia wanaouawa na Izrael zile ni war propaganda. Izrael ni mtu mwenye target ya Hali ya juu analenga tuu wanaohusika. Mfano mzuri angalia mashambulizi yake Iran na Syria. Hao raia ama wanauawa na Hamas wenyewe kwa bahati mbaya au makusudi ili kusaka public sympathy
Kwahiyo Hamas ina ndege siku hizi za kulipua maghorofa?
 
Sawa Hamas wabaya, mbona wanauwawa wamama na watoto? Wana hatia gani? Tofauti ya Serikai ya Israel na Hamas ni nini?
Mkuu,
Hivi ukienda ukajichimbia ndani ya hospitali ukawa unarusha mabomu, mizinga na maroketi kutokea humo na kuuwa watu wasio na hatia, wataendelea kutazama tu kwa kuhofia kuuwa wanawake na watoto ulioamua kuwatumia kama ngao?
 
Back
Top Bottom