The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
- Thread starter
-
- #101
Hakuna mzee wa utakuja kuniabia mimi nimesoma hiyo barua zaidi ya Mara 10 ,Alieandika ana akili sanaa.Ahahahahahaaa...!! Yaani 51mba na bodi ya ligi, hapa kuna loophole ya Yanga kuwakaba.
Hakuna barua ya malalamiko toka Simba kwenda bodi ya ligi. Hii pekee inaweza ikafanya kikao kilichoamua mechi ighairishwe kionekane ni batili. Sijui kama unanielewa.Sina uhakika to be honest,Ila kwa Hali ya kawaida Bodi ya Ligi haiwezi jibu barua ambayo haijatumwa kwao,
Sijui unaelewa point yangu,kwamba from hewani bila barua yeyote toka Simba bodi ifanye maamuzi kama yale
lazima wajeMechi ijayo ... Mgeni Rasmi ni Mama Samia Suluhu
Mgome Kuleta Timu Tuone!
1. Simba hawakumwambia yeyote juu ya nia yao ya kufanya mazoezi muda waliokwenda uwanja wa taifa..!!Simba imefuata taratibu halali kuomba mchezo usifanyike
Mamlaka halali inayosimamia ligi ikakubaliana na kuhairisha mechi
Sasa huu utabaki mtifuano kati ya mamlaka iliyo hairisha mechi dhidi ya wanaopinga uamuzi huo
Simba msiingize kwenye mijadala yenu
Mnajadili as if Simba iligoma tu kupeleka timu uwanjani bila kufuata taratibu
We una uhakika gani kama Simba hawakupeleka barua Bodi ya Ligi?Hakuna barua ya malalamiko toka Simba kwenda bodi ya ligi. Hii pekee inaweza ikafanya kikao kilichoamua mechi ighairishwe kionekane ni batili. Sijui kama unanielewa.
Huu nao ni mtego kwa bodi ya ligi. Wasije dhani ile taarifa kwa uma ndo barua ya kwenda bodi ya ligi. We kama unayo hiyo barua iweke hapa.We una uhakika gani kama Simba hawakupeleka barua Bodi ya Ligi?
Na hapo Bodi ya Ligi inanukuu
Soma bro usikurupuke
Simba ina UHURU wa kutangaza chochote mkuuSimba walitangaza kabla ya kikao kuwa hawatashiriki mechi kwa kuandika taarifa kwa uma..!!
Simba haijaandika barua yoyote ya malalamiko kuhusu jambo hili kwenda bodi ya ligi..!!
Bodi ya ligi imekaa kikao huku hakuna barua ya malalamiko toka kwa Simba..!!
Bodi ya ligi wameghairisha mechi bila kulalamikiwa na yeyote..!!
If at all hiyo barua ipo..!! Otherwise kikao kinaweza onekana ni batili..!! TRUST ME as well.Maana si kila wale wahusika wakikutana basi ni kikao cha bodi ya ligi..!! Wakati mwingine wanaweza kutana kwenye bia..!! MJUMBE ALIYEJIUZURU AMEONA MBALIAlieandika Hii Barua ya Bodi ya Ligi ana akili sana,Trust me ana akili vibaya mnoo💪🏿
Time will tellSimba ina UHURU wa kutangaza chochote mkuu
Unaandika as if unafanya kazi bodi ligi na umekagua ukakuta Simba hawajawasilisha malalamiko yao rasmi bodi
Bro Barua ya Bodi Ya ligi inasema hivi nanukuuHuu nao ni mtego kwa bodi ya ligi. Wasije dhani ile taarifa kwa uma ndo barua ya kwenda bodi ya ligi. We kama unayo hiyo barua iweke hapa.
Nimeelewa sana bro. Kwa mujibu wa bodi ya ligi, ni kwamba wameandikiwa barua na Simba. Ila mpaka sasa hakuna aliyeiona barua hiyo, labda bodi ya ligi pekee. Kama haipo, ni mtego kwao. Watanasa vibaya.Bro Barua ya Bodi Ya ligi inasema hivi nanukuu
” Club Ya simba iliiandikia barua bodi ya ligi”
Mwisho wa kunukuuu
We umeelewaje hapo? Means kuna barua iliandikwa sasa sijui unataka bodi ya ligi au simba pia waiweke mtandaoni?
Sawa wacha tusubiri kama watasema chochoteNimeelewa sana bro. Kwa mujibu wa bodi ya ligi, ni kwamba wameandikiwa barua na Simba. Ila mpaka sasa hakuna aliyeiona barua hiyo, labda bodi ya ligi pekee. Kama haipo, ni mtego kwao. Watanasa vibaya.
Yanga hawakuwa na cha kukilalamikia. Wao walijua muda wa mechi ni ule ule, kwa tarehe ile ile...!!Sawa wacha tusubiri kama watasema chochote
Naamini pia Yanga waliandika barua Kwa bodi ya Ligi.
Badala ya kuhangaika na kuleta Team uwanjani wangeandika barua same same day.
Una uhakika barua unayodai Simba imeiandikia bodi ya ligi ina mstari unaoomba mechi ighairishwe? Simba walishaamua kutoingia uwanjani kama walivyosema kwenye taarifa yao kwa umakatika hili SIMBA imefuata taratibu zote kikanuni kuomba mchezo usifanyike kwa kupeleka malalamiko rasmi bodi(rejea barua ya bodi ikikiri kupokea malalamiko toka Simba)
Tunaomba maamuzi za mamlaka ZIHESHIMIWE
Baada ya majibu ya Bodi ya Ligi kuahirisha mechi nasemaYanga hawakuwa na cha kukilalamikia. Wao walijua muda wa mechi ni ule ule, kwa tarehe ile ile...!!
Ofisa Usalama aliyetajwa yupo kisheria au hapana?Umeandika ujinga, Ishu ya Usalama wanaotoa Ripoti ni Jeshi la Polisi na wenye mamlaka za Usalama. BODI YA LIGI wanajuaje masuala ya USALAMA bila taarifa ya Jeshi la Polisi na hao ndio wenye dhamana ya Usalama? Pia unajuaje usalama wakati mechi ni Jioni na Jeshi la Polisi wamepeleka ulinzi pale?
Umeandika Upumbavu.
Kwa nini? Hakuna Lungu lolote hapo.Watakutana na Lungu la TFF wasiamini macho yao