Kwa kipigo cha juzi na kwa hii ratiba ya mechi zao tano zijazo kuna mtu anaweza kurejea kwao Maradona Country kwa kufukuzwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
Kitu ambacho hujui mkuu timu yako haiwezi kuchukua alama 12 kwa singida na Azam, Af kwa hizo mechi zote Dar Es Salaam Young Africans anachukua alama 3 bila ya papatu papatu uwanjani.
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
dua la kuku
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
acha kapigwe tu hakuna namna
 
Huko vizuri kwenye kufuatilia ratiba za Wanayanga kuliko hata Wanayanga wenyewe,aahaaaaa
 
Kwasababu waamuzi Tanzania limekuwa tatizo sugu ngoja wale waliopangiwa ubingwa wapewe , nguvu na akili zinaenda cafcl kwa hasira na juhudi yoyote atayekuja ni kipigo cha mbwa koko Mpaka fainali Kama msimu uliopita
 
Back
Top Bottom