Kwa kipigo cha juzi na kwa hii ratiba ya mechi zao tano zijazo kuna mtu anaweza kurejea kwao Maradona Country kwa kufukuzwa

๐Ÿ”Š๐Ÿ”Š๐Ÿ”ŠWe Selemani we sele sele๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
We selemani we sele sele๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ

We.selemani we sele sele๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต

Selemani we๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ

FB_IMG_16992583151771630.jpg
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
Andika mkeka mwingine maana huu tayari umepigwa na mhindi
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
Popoma, unasubiriwa huku kuja kutoa mrejesho!
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
Mbona wameshinda zoote kulikoni
 
Badala ya kurejea kwao MARADONA country kwa kufukuzwa amerejea kwao ZICO country kwa kutimuliwa kama paka mwizi.
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
Dua la kuku alimpati mwewe, mlipenda yanga ipoteze lakini kwa bahati yenu mbaya wenzenu walisajili wachezaji nyie mkasajili majina ya wachezaji matokeo yake mafuriko ya jangwani yamemsomba mpaka Mzee wa objectiiiveee na bado yanaendelea kusomba Kila kitu pale mto msimbazi mkija kushtuka mtakuwa mmebaki na majengo tu!!!
 
Jamaa nasikia wanagomea bahasha,juzi kule mbeya jamaa wakachukua bahasha na bado wakakandwa..zile janja janja zishashtukiwa..
Okay sawa sawa Tukiwaambia YANGA NI JESH LA MUNGU NDIO HUWA TUNAMAANISHA VIPIGO KAMA HIVYO, vinasambaratisha timu, haya rudin mropoke tenaโ€ฆ
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
Wote mmepigwa mbele na nyuma, walete wengine.
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
Super popoma hebu useme mana bado hujasemaa
 
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.

Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.

Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.

Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.

Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.

Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?

Kudadadeki....!!
Nilishasema tangu siku za nyuma kuwa wewe sio analyst bali mzee wa hisia.
 
Back
Top Bottom