Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Uliona mbali mkuuYule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait