Uliona mbali mkuuYule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
Yaani mbrazil ndio katambaa ..Yule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
AahaaaaaaYule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
Nilimwambiaga hapa akanibishia [emoji23]Kitu ambacho hujui mkuu timu yako haiwezi kuchukua alama 12 kwa singida na Azam, Af kwa hizo mechi zote Dar Es Salaam Young Africans anachukua alama 3 bila ya papatu papatu uwanjani.
[emoji3516]Mi sijawahi kutoa boko, subiri uone mwenyewe..
Huu mwezi umekuwa mgumu sana kwa MAKOLO!!Huu mwezi mgumu sana kwa uto[emoji1787][emoji1787]
Clean 15 points.Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
Aisee ulipita humo humo.Yule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
tumeshinda zoteTarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
Maono ya mbali sana hayaYule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
Yametimia, mbrazil katimuliwa na muanzisha uzi anauogopaYule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
Chifu unajua kusoma Mpira kitaalamuYule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
Mrejesho tafadhali..... Dua la kukuJamaa nasikia wanagomea bahasha,juzi kule mbeya jamaa wakachukua bahasha na bado wakakandwa..zile janja janja zishashtukiwa..
Kamtu kafupi kenye kitambiHuyu mbilikimo king'ang'anizi apelekwe hospital