CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Yule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
Andika mkeka mwingine maana huu tayari umepigwa na mhindiTarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
Popoma, unasubiriwa huku kuja kutoa mrejesho!Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
Mbona wameshinda zoote kulikoniTarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
DuhYule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
Dua la kuku alimpati mwewe, mlipenda yanga ipoteze lakini kwa bahati yenu mbaya wenzenu walisajili wachezaji nyie mkasajili majina ya wachezaji matokeo yake mafuriko ya jangwani yamemsomba mpaka Mzee wa objectiiiveee na bado yanaendelea kusomba Kila kitu pale mto msimbazi mkija kushtuka mtakuwa mmebaki na majengo tu!!!Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
Okay sawa sawa Tukiwaambia YANGA NI JESH LA MUNGU NDIO HUWA TUNAMAANISHA VIPIGO KAMA HIVYO, vinasambaratisha timu, haya rudin mropoke tenaβ¦Jamaa nasikia wanagomea bahasha,juzi kule mbeya jamaa wakachukua bahasha na bado wakakandwa..zile janja janja zishashtukiwa..
Wote mmepigwa mbele na nyuma, walete wengine.Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
Kiko wapii
Super popoma hebu useme mana bado hujasemaaTarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
Amesema tayari ama badoYule mwargentina anaijua kazi yake bwana, huwezi ukamfananisha na mbrazili wenu, utaona kitakachowakuta hao ndugu zako utakuja kusimulia, huyo mbrazili wenu soon wanamtimua, just wait
Nilishasema tangu siku za nyuma kuwa wewe sio analyst bali mzee wa hisia.Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam.
Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga.
Kila Mtu ashinde tu Mechi zake sawa?
Kudadadeki....!!
Eti eeh?Huu mwezi mgumu sana kwa uto[emoji1787][emoji1787]