Kwa kipigo cha juzi na kwa hii ratiba ya mechi zao tano zijazo kuna mtu anaweza kurejea kwao Maradona Country kwa kufukuzwa

Dah
 
Katika wote hao mkia ndio kala kipigo cha aibu
 
Genty vp


Hahahaha utabiri haha
 
Hakika kila mtu ashinde mechi zake
 
Rudi useme tena na bado 5 zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…