Sahihi kabisakila mwanamke anastahili upendo sio kwamba single mother ndio wasaliti hapana hata hao ambao sio single mother unaweza kukuta ndio wasaliti hatari hivyo nashauri jamii iache mitizamo hii hasi na tutazamie usawa na ieleweke kwamba usaliti upo sehemu nyingi sio kwa wanaume wala wanawake jambo la msingi ni kila mmoja kwenye jamii kutafuta mwenza sahihi hili ndio suluhisho na sio kutafuta asiye single mother kwani unaweza kukuta huyo asiye na mtoto ndio msaliti mkuu hivyo tubadilishe mitizamo hii hasi kwamba sigle mother hawafai hapana.