Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

Philo, nawasikitikia wazazi wako.

Mahari ni shukrani tu kwa wazazi sababu unaenda kujenga ukoo wa watu huko, Mungu akikujalia uzao huko baadae utawaongezea watu wakwao idadi. Ni vibaya wakishukuru wazazi wako na watu wa kwenu kwa kutoa kidogo?

Tabia ya mtu haina uhusiano na mahari, kijana aliyeoza anapatana na binti wakufanana nae. Vile vile walio na tabia njema wanapatana na wenzao wenye tabia nzuri
Tatizo linakuja mahari wamefanya kama source ya kipato
 
Philo, nawasikitikia wazazi wako.

Mahari ni shukrani tu kwa wazazi sababu unaenda kujenga ukoo wa watu huko, Mungu akikujalia uzao huko baadae utawaongezea watu wakwao idadi. Ni vibaya wakishukuru wazazi wako na watu wa kwenu kwa kutoa kidogo?

Tabia ya mtu haina uhusiano na mahari, kijana aliyeoza anapatana na binti wakufanana nae. Vile vile walio na tabia njema wanapatana na wenzao wenye tabia nzuri
Weeeeeeee! walioza wanapatana na watu wenye tabia mzuri. fikiria ndoa za sasa mechi zinaanza watu washafungwa magoli
 
Back
Top Bottom