Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 1,518
- 2,174
Kwannbila mahari haiswihi ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwannbila mahari haiswihi ndoa
Sivyo mahali ni mahari. Mahali ikifutwa tutakaa/tutaishi wapi.mahali ifutwe tu au unasemaje bwana Rayns
Kwani saivi unaishi wapi!!Si
Sivyo mahali ni mahari. Mahali ikifutwa tutakaa/tutaishi wapi.
🤣🤣Kuteleza kuandika ni jambo la kawaida kwenye hizo simu zetumahali ifutwe tu au unasemaje bwana Rayns
Umenielewa vibaya mkuu🤣🤣Kuteleza kuandika ni jambo la kawaida kwenye hizo simu zetu
😍🤣🤣 Amua bhnaHuko mbali babe 🤣🤣
Tatizo linakuja mahari wamefanya kama source ya kipatoPhilo, nawasikitikia wazazi wako.
Mahari ni shukrani tu kwa wazazi sababu unaenda kujenga ukoo wa watu huko, Mungu akikujalia uzao huko baadae utawaongezea watu wakwao idadi. Ni vibaya wakishukuru wazazi wako na watu wa kwenu kwa kutoa kidogo?
Tabia ya mtu haina uhusiano na mahari, kijana aliyeoza anapatana na binti wakufanana nae. Vile vile walio na tabia njema wanapatana na wenzao wenye tabia nzuri
Weeeeeeee! walioza wanapatana na watu wenye tabia mzuri. fikiria ndoa za sasa mechi zinaanza watu washafungwa magoliPhilo, nawasikitikia wazazi wako.
Mahari ni shukrani tu kwa wazazi sababu unaenda kujenga ukoo wa watu huko, Mungu akikujalia uzao huko baadae utawaongezea watu wakwao idadi. Ni vibaya wakishukuru wazazi wako na watu wa kwenu kwa kutoa kidogo?
Tabia ya mtu haina uhusiano na mahari, kijana aliyeoza anapatana na binti wakufanana nae. Vile vile walio na tabia njema wanapatana na wenzao wenye tabia nzuri
Tena kwa mia mia...Usitoe mahari, kama ukitoa isizidi alfu salasini.....
Wajomba wanavokuaga wamejiandaa, na makoti makubwa wamevaa watakurushia coins zako 😂😂😂Tena kwa mia mia...
Ziwe coin 300... Upate elfu thelathini...
Pesa halali kwa malipo halali ya shilingi elfu thelathini ila kwa mia mia coin 300...Wajomba wanavokuaga wamejiandaa, na makoti makubwa wamevaa watakurushia coins zako 😂😂😂
😍😍😄😄😄hehe mie nasubiriKwa ninavokupenda sweery wangu nakuja wallahi😍😃😃