Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza.
Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri Jeshi Mkuu, Mambo kuhusu afya yake Kuna Yeye mwenyewe, Kuna Ndugu, Kuna Daktari wake, Kuna viongozi wengine wa kisiasa na kiusalama na Uje Uje wewe Mwananchi, Hapo ndio utagundua mpaka taarifa inakufikia kuwa vitu vingi vimefuatwa na kukubalika.
Kwa maana Rahisi PM hawezi kukurupuka tu na kutoa kauli kuhusu Hali ya Rais ni lazima itifaki na Usalama wa Nchi uwekwe sawa na kauli ipimwe kama italeta Madhara au La.
Hivi Watanzania wenzangu how do you hate the Best? Maana hizi ni kama personal attacks kwa PM au Ni mpango wa kumtoa kwenye Ramani kisaikolojia apotee kabisa.
Je, kwa sasa kuna kiongozi mzalendo kuliko Yeye? Kwa kifupi Baadhi yetu watanzania hatumtendei haki tunamkatisha tamaa sana katika utendendaji wake ni vyema tujirekebishe.