Kwa kosa hili, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tunamkosea sana

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza.

Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri Jeshi Mkuu, Mambo kuhusu afya yake Kuna Yeye mwenyewe, Kuna Ndugu, Kuna Daktari wake, Kuna viongozi wengine wa kisiasa na kiusalama na Uje Uje wewe Mwananchi, Hapo ndio utagundua mpaka taarifa inakufikia kuwa vitu vingi vimefuatwa na kukubalika.

Kwa maana Rahisi PM hawezi kukurupuka tu na kutoa kauli kuhusu Hali ya Rais ni lazima itifaki na Usalama wa Nchi uwekwe sawa na kauli ipimwe kama italeta Madhara au La.

Hivi Watanzania wenzangu how do you hate the Best? Maana hizi ni kama personal attacks kwa PM au Ni mpango wa kumtoa kwenye Ramani kisaikolojia apotee kabisa.

Je, kwa sasa kuna kiongozi mzalendo kuliko Yeye? Kwa kifupi Baadhi yetu watanzania hatumtendei haki tunamkatisha tamaa sana katika utendendaji wake ni vyema tujirekebishe.
 
Kwa hiyo una-justify viongozi wa umma kuwadanganya wale waliowapa madaraka hayo kwa sababu kila mtu kwenye familia anadanganya?

Kuwa kiongozi au mtumishi wa umma ndo kunamfanya mtu kuwa mwenye busara na akili kuliko wananchi wote?

Viongozi au watumishi wa umma ndo S.I unit kiasi kwamba kila wanachosema ndo standard? do you mean wananchi ni mambuzi tu au wendawazimu kiasi kwamba wanapaswa kufuata wanachoambiwa na viongozi wao pasipo kutoa hoja kinzani? Stupidity will never end aisee 🤣 🤣
 
Ni ujinga tu kudhania kuwa Majaliwa angetoka public na kusema Magufuli anaumwa kalazwa hospital. Kwani ye hajui protocal.
 
Angekaa kimya, angewaachia watu wengine kama akina Polepole au Chalamila waongee huo uwongo ila yeye mtu makubwa sana hatakiwi kujiaibisha wazi vile

Na pia hili swala la Ngorongoro angemuachia hata waziri wa mambo ya ndani tu adanganye, likifumuka yeye anabaki salama
 
Habari wakuu ,Hivi ni nani humu Jf hajawahi kudanganya ?Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana ,Kuna watu wengi tu humu Jf wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza .
Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi ,Amiri Jeshi Mkuu ,Mambo kuhusu afya yake Kuna Yeye mwenyewe ,Kuna Ndugu ,Kuna Daktari wake ,Kuna viongozi wengine wa kisiasa na kiusalama na Uje Uje wewe Mwananchi ,Hapo ndio utagundua mpaka taarifa inakufikia kuwa vitu vingi vimefuatwa na kukubalika.
Kwa maana Rahisi PM hawezi kurupuka tu na kutoa kauli kuhusu Hali ya Rais ni razima itifaki na Usalama wa Nchi uwekwe sawa na kauli ipimwe kama italeta Madhara au La .
Hivi Watanzania wenzangu how do you hate the Best ? Maana hizi ni kama personal attacks kwa PM au Ni mpango wa kumtoa kwenye Ramani kisaikolojia apotee kabisa .
Je kwa sasa kuna kiongozi mzalendo kuliko Yeye ? Kwa kifupi Baadhi yetu watz hatumtendei haki tunamkatisha tamaa sana katika utendendaji wake ni vyema tujirekebishe .

Hapa ndio unaona umefanya bonge la utetezi! Ni hivi, ukishaona serikali inaingia madarakani kwa kuchezea box la kura, tegemea uongo na propaganda kubwa ili kuongoza nchi.
 
Ni sahihi kabisa kwa alichokifanya muheshimiwa PM Katika suala la kifo cha Mwendazake..

Yeye ni PM alitakiwa awatulize watanzania haswa kwa kipindi kile kigumu cha TAHARUKI,

Kila mwanainchi alikuwa na hofu ya kumpoteza Mpendwa wetu.
Mitaani yaliyokuwa yakisemwa ni mengi.
Mimi naona alikuwa sahihi kabisa,

Wakati mwingine TAHARUKI INAUWA ZAIDI KULIKO AJALI YENYEWE.

Hata MV BUKOBA ilizama baada ya watu kukimbilia upande mmoja kwa taharuki..
Kama abiria wangepata maelezo mazuri bila kuwatia hofu vessel isinge capsized..
 
Wewe na kassimu wote mulemule,waziri muongo level ya tapeli,ndio pm wa hovyo kuwahi kutokea tanzania
 
Hapa ndio unaona umefanya bonge la utetezi! Ni hivi, ukishaona serikali inaingia madarakani kwa kuchezea box la kura, tegemea uongo na propaganda kubwa ili kuongoza nchi.
Pole sana 2020 ilishapita. Kwani ulilazishwa kujenga madarasa ili upate ubunge?
 
Habari wakuu ,Hivi ni nani humu Jf hajawahi kudanganya ?Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana ,Kuna watu wengi tu humu Jf wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza .
Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi ,Amiri Jeshi Mkuu ,Mambo kuhusu afya yake Kuna Yeye mwenyewe ,Kuna Ndugu ,Kuna Daktari wake ,Kuna viongozi wengine wa kisiasa na kiusalama na Uje Uje wewe Mwananchi ,Hapo ndio utagundua mpaka taarifa inakufikia kuwa vitu vingi vimefuatwa na kukubalika.
Kwa maana Rahisi PM hawezi kurupuka tu na kutoa kauli kuhusu Hali ya Rais ni razima itifaki na Usalama wa Nchi uwekwe sawa na kauli ipimwe kama italeta Madhara au La .
Hivi Watanzania wenzangu how do you hate the Best ? Maana hizi ni kama personal attacks kwa PM au Ni mpango wa kumtoa kwenye Ramani kisaikolojia apotee kabisa .
Je kwa sasa kuna kiongozi mzalendo kuliko Yeye ? Kwa kifupi Baadhi yetu watz hatumtendei haki tunamkatisha tamaa sana katika utendendaji wake ni vyema tujirekebishe .
Unapouliza kijinga kwamba Je kuna kiongozi muadilifu kuliko yeye unamaanisha nini ? yaani mtu aliyeteka wagombea wa vyama vya upinzani ili apite bila kupingwa ni Mzalendo ?

Mkuu kama umeamia kutukana wananchi si tumia njia za wazi tu ueleweke !
 
Ni ujinga tu kudhania kuwa Majaliwa angetoka public na kusema Magufuli anaumwa kalazwa hospital. Kwani ye hajui protocal.
The best way angekaa kimya kuhusu hali yanarehemu mle msikitini akapiga hadithi za mtume ila sio kudanganya msikitini sheikh
 
Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza.

Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri Jeshi Mkuu, Mambo kuhusu afya yake Kuna Yeye mwenyewe, Kuna Ndugu, Kuna Daktari wake, Kuna viongozi wengine wa kisiasa na kiusalama na Uje Uje wewe Mwananchi, Hapo ndio utagundua mpaka taarifa inakufikia kuwa vitu vingi vimefuatwa na kukubalika.

Kwa maana Rahisi PM hawezi kukurupuka tu na kutoa kauli kuhusu Hali ya Rais ni lazima itifaki na Usalama wa Nchi uwekwe sawa na kauli ipimwe kama italeta Madhara au La.

Hivi Watanzania wenzangu how do you hate the Best? Maana hizi ni kama personal attacks kwa PM au Ni mpango wa kumtoa kwenye Ramani kisaikolojia apotee kabisa.

Je kwa sasa kuna kiongozi mzalendo kuliko Yeye? Kwa kifupi Baadhi yetu watanzania hatumtendei haki tunamkatisha tamaa sana katika utendendaji wake ni vyema tujirekebishe.
Wewe ni chawa wa Majaliwa
 
Ni sahihi kabisa kwa alichokifanya muheshimiwa PM Katika suala la kifo cha Mwendazake..

Yeye ni PM alitakiwa awatulize watanzania haswa kwa kipindi kile kigumu cha TAHARUKI,

Kila mwanainchi alikuwa na hofu ya kumpoteza Mpendwa wetu.
Mitaani yaliyokuwa yakisemwa ni mengi.
Mimi naona alikuwa sahihi kabisa,

Wakati mwingine TAHARUKI INAUWA ZAIDI KULIKO AJALI YENYEWE.

Hata MV BUKOBA ilizama baada ya watu kukimbilia upande mmoja kwa taharuki..
Kama abiria wangepata maelezo mazuri bila kuwatia hofu vessel isinge capsized..

Unaamini wananchi wangepata taharuki ya kutangaziwa kifo cha magufuli wakati husika? Kwahiyo kuchelewa kutangazwa kifo chake ilikuwa ni ili kuwaondolea wananchi taharuki? Nyie wazee ndio huwa kifo cha mtu kikitokea eti huwa mnafichaficha sijui mkimwambia mfiwa atastuka. Kizazi hiki sio cha habari hizo boss.
 
Back
Top Bottom