The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu,tatizo huko uaminifu upo chini sana,wengi tumepigwa na tuliowaamini,hakuna Diaspora ambae hajapigwa,😂 aloooh! naona wana'Diaspora mmegoma kuwekeza kwenu pamoja na sera zote zinazowapendelea.
Haya bwana.
Mleta mada upo sahihi kabisa,ukitoka mbele unaiona Bongo bado sana (Hapa simaanishi dharau) Angalia hata Lema alivyotoka Canada,kila kitu bongo alikua anaona ni umasikini,mara alaumu Bodaboda,mara aseme sijui vikoba,naona sasa hivi kazowea tena.