The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu,tatizo huko uaminifu upo chini sana,wengi tumepigwa na tuliowaamini,hakuna Diaspora ambae hajapigwa,π aloooh! naona wana'Diaspora mmegoma kuwekeza kwenu pamoja na sera zote zinazowapendelea.
Haya bwana.
Aisee, umaliza!Wachache watakuelewa bongo ni ya kifala sana. Huitaji kwenda ulaya kulijua hilo, nenda tu pale Nairobl ukae mwezi mmoja afu urudi Bongo kudadeki utakubaliana na wazungu wanaosema Dar ni kijiji pembezeno mwa bahari ya hindi.
Sisi mipamgo miji yetu ni ya kimaskini sana. Afu serikali haijengi miundombinu ya maana kupendezesha miji. Badala yake watu binafsi ndiyo wanaojijengea migorofa huku mitaani
πWatu wapo wapo tu wamekaa na kusimama kila sehemu π€£π€£π€£π€£
Aisee kuna vitu vinachekesha.
Uafrika hasa utanzania ni laana.Wachache watakuelewa bongo ni ya kifala sana. Huitaji kwenda ulaya kulijua hilo, nenda tu pale Nairobl ukae mwezi mmoja afu urudi Bongo kudadeki utakubaliana na wazungu wanaosema Dar ni kijiji pembezeno mwa bahari ya hindi.
Sisi mipamgo miji yetu ni ya kimaskini sana. Afu serikali haijengi miundombinu ya maana kupendezesha miji. Badala yake watu binafsi ndiyo wanaojijengea migorofa huku mitaani
Wala sikatai bongo bado sana, everything is just mixed up!π
Kwa kweli sidanganyi kwa hili
Kwangu imekuwa culture shock!
Sababu baada ya muda mrefu na sehemu niliyotoka sijaona watu wamechonga mabenchi yao ya kukaa pembezoni mwa barabara siku nzima
Mkuu,tatizo huko uaminifu upo chini sana,wengi tumepigwa na tuliowaamini,hakuna Diaspora ambae hajapigwa,
Mleta mada upo sahihi kabisa,ukitoka mbele unaiona Bongo bado sana (Hapa simaanishi dharau) Angalia hata Lema alivyotoka Canada,kila kitu bongo alikua anaona ni umasikini,mara alaumu Bodaboda,mara aseme sijui vikoba,naona sasa hivi kazowea tena.
Mbona waandika Kama umemkimbia Museveni.Na nilivyoomba viza mtandaoni chapchap nikapata nikiwa huko uganda, nikaona yes kweli tunaanza kuendelea, lakini matarajio yote yamepotea baada ya kufika
Jua la bongo sio mchezoHawa watu wanaotoka ughaibuni huwa wana maneno sana.
Nakumbuka nilikiwa maskani Upanga akaja mchizi wangu kutoka Harlem, anasema Tanzania watu wamepigwa na jua sana mpaka Kariakoo vijana wamepaukaaa wanaonekana kama wazee.
Nilisikitika sana.
Inabidi ujiandae kisaikolojia kukubali hali ya kwenu.Jua la bongo sio mchezo
Hata Airport mpya imepauka kichizi
Vituo vya mwendokasi vinaanza kuonekana kama magofu π
Tulikuwa anza za kupanga jinsi ya kurudi mazima halafu dada yake mke wangu ndio tulikuwa tunahasishina nae sana kuanza kufikiria kujipanga na kurudi mazima yeye alitutangulia wiki mbili kabla yetu.Inabidi ujiandae kisaikolojia kukubali hali ya kwenu.
Hapo ndiyo kwenu, na hao ndiyo ndugu zako, hata kama umechukua uraia nje.
Tulikuwa anza za kupanga jinsi ya kurudi mazima halafu dada yake mke wangu ndio tulikuwa tunahasishina nae sana kuanza kufikiria kujipanga na kurudi mazima yeye alitutangulia wiki mbili kabla yetu.
Duh! Tumemkuta ameshachoka na ile nguvu ya kurudi imefifia kama si kupotea!
Mapicha haya hapa
Huu ndio ule famous Haile Selassie road niliokulia maisha ya shule-nyumbani, enzi hizo nilikuwa na roller skate nachezea barabarani, hii hapa ni hali ya sasa!
View attachment 2714539
View attachment 2714540
View attachment 2714541
View attachment 2714542
Na hii ndio Chole road, hiki kibanda kipO next to IST of Tanganyika
Barabara imejaa daladala na bodaboda
View attachment 2714544
View attachment 2714552
View attachment 2714546
View attachment 2714547
View attachment 2714549
View attachment 2714553
Upanga nyumba zimezidi kuwa chafu sanaView attachment 2714588
Hivi huu utoko utoko mweusi kwenye rangi za nyumba, nafikiri unatokana na nyumba kupigwa mvua halafu rangi ku react, hakuna rangi ambayo haita react na mvua kutengeneza huu utoko?
Nikiuona najiuliza sana. US nyumba zinakaa four seasons bila kupata utoko huu, sanasana ukiwa na nyumba yenye vynil nje utafanya power wash mara moja baada ya miaka 5 au 10, na hata usipofanya uchafu hautakuwa visible hivyo.
Watu hawaoni au hawajali?
Ukienda Upanga kuna nyumba chafu hivyo kichizi, halafu, hata ukipiga rangi haichukui mwaka zikipiga mvua inarudia vilevile.