Kwa kweli Bongo bado sana

Kwa sasa nikirudi Bongo nitataka kutembea mikoani zaidi.
 


Rudi huko kwenu, mkataa kwao mtumwa fala wewe.
 
Hahaha wazungu choka mbaya.

Mkuu hao wamejaa kigamboni huku sijui hata wanatoka nchi gani.
Wengine wamepanga kabisa mtaani huku asubuhi tunakutana nao kwenye mihogo.
Soma uzi wa cute wife kuhusu hao wazungu wa kigambon,yy alikutana na mmoja huyo kisa chake utacheka mpaka bas
 
Mkuu, me nakushauri ukisepa bongo usirudi tena hadi wabongo wapate akili waendeleze bongo yao ndo urudi kula matunda ya nchi kama ambavyo umeenda mbele baada ya wao kuendeleza kwao.
 
Mkuu.

Uafrika hasa utanzania ni laana.

Binafsi najuta sana kazaliwa Tanzania.

Nipo Bongo bahati mbaya.

Nipo kwenye process ya kukimbia hii nchi yenye Laana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23]
Kwa kweli sidanganyi kwa hili
Kwangu imekuwa culture shock!
Sababu baada ya muda mrefu na sehemu niliyotoka sijaona watu wamechonga mabenchi yao ya kukaa pembezoni mwa barabara siku nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bongo, dar es salaam
 
Nilikuwa naitamani bongo sio mchezo, nikiangalia you tube, mitandaoni tz nzuri sana hila kwa ground ni case tofauti sana.
 
Nimeshindwa kuongeza siku kutokana na kushindwa kuvumiliia hizi purukushani za Dar
Mkae Salama.
 
Tatizo lako una fananisha bongo na Huko uliko toka.

Fananisha Tanzania ya miaka kumi ilio pita na hii ya Leo. Hapa ndo ulete maoni yako
We unazani maendeleo ni hayo majengo marefu jiji letu tumefeli sana swala la mipango miji mitaa mingi dar gari la majitaka haliingii wajawazito sijui wakipata uchungu huwa inakuwaje hiyo mitaa ya manzese
 
Sehemu yoyote where there's no anymore peace of mind Unabidi kuondoka hiyo Sehemu .

Honestly nchi yetu watu wamezubaa Sana they all talking about peoples
Gossiping
Blaming
Ego and a lot of shit*.
 
Sehemu yoyote where there's no anymore peace of mind Unabidi kuondoka hiyo Sehemu .

Honestly nchi yetu watu wamezubaa Sana they all talking about peoples
Gossiping
Blaming
Ego and a lot of shit*.
Hama wewe basi
 
Uvccm.watakuja kutukana na kusema wewe umetumwana mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…