Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Hii inamaanisha kwamba yanayotokea yanakuwa yameshapangwa kimkakati, hakuna jambo la bahati mbaya.

Hili sio suala la wao kuwa na miujiza au uwezo wa kimungu au wa kinabii, ni nafasi tu waliyonayo ya kupata taarifa kabla haziwafikia watu.

You can not, at least in literal terms, 'predict' the obvious and the pre-planned. You only state the facts you already know.

Okay, kesho natabiri nitajamba.
 

Hii ni Jukwaa la Open Source Intelligence Gathering (OSINT).

Ni jukwaa muhimu Sana Kwa Vyombo vyote vya Intelligence nchini ili kuweza kupata taarifa na kuweza kuzishughulikia
 
Nicheki inbox alaf pitia benki kuu ya Tanzania hapa posta hapa kijana nikupe nauli na hela ya bando ulilotumia. Asante sana kijana kwa kuappreciate
 
Nicheki inbox alaf pitia benki kuu ya Tanzania hapa posta hapa kijana nikupe nauli na hela ya bando ulilotumia. Asante sana kijana kwa kuappreciate
Noma sana😄
 
JF si ya mchezo mchezo...
Kuna ma Diaspora walipitia JKT ya zamani, wakasoma ya kutosha, wakatafuta mapeni hapa, wakajenga, wakazamia ughaibuni, wakasoma TENA, na walifanya kazi za maana kule, wakapata watoto na wajukuu, wakawekeza TENA hapa, wapo wanachangia kwa uwezo wao. KIFUPI USIDHARAU JF for your own sake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…