Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Wakishika mishahara miwili tu wanasahau walipotika, watakutukana wewe na hicho kiajira ulichowasaidia😆
hahahaha,anakuletea dharau uliyempa kazi,..kuna dogo mmoja alinifuata ana kazi ,nikampeleka kampuni moja ya waturuki wanajenga viwanja vya afcon, kapata hela anasema mie nabania watu kupata kazi
 
Unachosema ni kweli kabisa mkuu. Kipindi fulani kiongozi mmoja mkubwa sana akikerwa na mkewe n.k. anakuja humu kutafuta ugomvi, akirushiana makombora humu basi anapata utulivu.

Kwa hiyo sometimes JF ni kama sehemu ambako mtu anakuja kumaliza sumu.
Nilikuwa najua kuwa Marehemu Mkapa ni Member humu ila sikujua ID yake,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…