Wale wazee wa kataa ndoa watakuja kukupopoaKama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Ni kweli mkuu.....Kaka wengine dini zetu zinatufunga mfano uislamu mtume amesema ole wetu mwenye kufanya zinaa, Yani ni adhabu Tano duniani adhabu zingine akhera kujifanya kichwa ngumu MADHARA yake ni makubwa ni kheri unaoa tu mambo mengine mbele kwa mbele
Hakuna anaechoka wiki mbili tatuWewe kama alibakia kukulisha shukuru Mungu... wenzako wanakimbiwa tena wakiwa taabani....haya mambo ni kumtanguliza tu Mungu mbele
Nimekuelewa kiutu uzimaHakuna anaechoka wiki mbili tatu
Ugonjwa wa kuwakimbiza watu wa karibu ni ule ambao unamforce mtu aache kila kitu chake au akuuguze kwa miezi au miaka.
Hizo wiki tatu bado sana hata mchepuko unaweza kuigiza 🙏🏽
SureHakuna anaechoka wiki mbili tatu
Ugonjwa wa kuwakimbiza watu wa karibu ni ule ambao unamforce mtu aache kila kitu chake au akuuguze kwa miezi au miaka.
Hizo wiki tatu bado sana hata mchepuko unaweza kuigiza 🙏🏽
Mapenzi ya mama😁😁Mwanangu wa kiume awe na miaka hata 40+ akiumwa siwezi kumtegea mtu mwingine amuogeshe.
Wakichelewa watakuta nipo namsugua.
😷kwa nini washindwe
Uoe Sasa, 🙌Firstborn katika ubora wako
Je, uko single?Uoe Sasa, 🙌
Sipo single,vipi wewe upo single?Je, uko single?
Kwenye kuumwa uko sahihi.Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Aisee, 🤣 kipindi anamiaka 40 utakuwa na umri gani?Mwanangu wa kiume awe na miaka hata 40+ akiumwa siwezi kumtegea mtu mwingine amuogeshe.
Wakichelewa watakuta nipo namsugua.
Ndio.Sipo single,vipi wewe upo single?
unasubiri Nini na unazeeka😁Ndio.
Njoo nikuoe firstborn, si utatulia?Tunasubiri Nini na unazeeka😁
Aisee Mimi Nina mchumba nampenda sana,huwezi nishawishi.Njoo nikuoe firstborn, si utatulia?
Njoo katika pm yangu first born😎,Aisee Mimi Nina mchumba nampenda sana,huwezi nishawishi.