mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,927
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Utingo alikanyaga break at the same time wewe ukiwa kwenye usukani? Au gari lako lilikua na vitendea kazi jozi mbili kama yale ya driving school?nakumbuka nilipokuwa dreva wa basi moja linaitwa Tanganyika bus kule MWANZA nilipokuwa ktk route za kwenda Mara ipo siku njiani majira ya saa 3 nikiwa ktk shughuli zangu za udereva nilionana ghafla na jamaa akiwa ana Ng'ombe wawili akikatisha katkati ya barabara tena ni babu kavaa lubega,nilichosema ni kwa jina la Yesu ,Mungu wangu nisaidie sikuwa hata na akili ya kushika breki niliachia mikono na gari ilivuka pale,shukrani kwa utingo jirani yangu baada ya kuona ile hali utingo yule alikanyaga breki huku tukiwa tumevuka lile eneo,baada ya hapo sikuweza tena kuendesha,gari liliendehswa na utingo hadi tukafika nahc ni Mungu tu alisaidia si mimi,tokea siku ile sijaedesha tena gari usiku mwisho ni saa 12 jioni
Walipitia hapo wangapi? na alisalimika na ngwengwe uyo mke?
Wanaume tumeumbwa mateso
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha KaisariKuna siku ilikuwa 2007. Nikitoka Arusha kwenda Dar saa Saba Nane usiku nilikuwa napita maeneo ya kwedikwazu. Kuna mahala Barbara imenyooka Sana Basi nikawa natembea speed 100-120.
Kuna mrembo mmoja mdada akawa anasimamisha gari akiomba lift. Nikapiga taa kubwa kumwona vizuri mrembo haswaa, sikusimama nikanuoosha goti, huku najiuliza huyu anaenda Wapi saa hizi,. Bwana ile nampita kwa speed ile alinipiga busu Mara tatu hapo dirishani. Maana sikuwa nimefunga madirisha ili nipigwe upepo nisilale. Nilifika dar Sina raha kutwa nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe mkuunitaleta mrejesho wa kisa cha rafiki yangu wa karibu ambaye anendesha lory kuna mkasa uliwahi kumkuta wa kumpakia jini na kwenda kumshusha maeneo ya mahenge ya jirani na kitonga.
Huo ulitokea kama miaka mitano iliyopita
Busu kivip mkuu wakat na gari una sema ilikua 120Kuna siku ilikuwa 2007. Nikitoka Arusha kwenda Dar saa Saba Nane usiku nilikuwa napita maeneo ya kwedikwazu. Kuna mahala Barbara imenyooka Sana Basi nikawa natembea speed 100-120.
Kuna mrembo mmoja mdada akawa anasimamisha gari akiomba lift. Nikapiga taa kubwa kumwona vizuri mrembo haswaa, sikusimama nikanuoosha goti, huku najiuliza huyu anaenda Wapi saa hizi,. Bwana ile nampita kwa speed ile alinipiga busu Mara tatu hapo dirishani. Maana sikuwa nimefunga madirisha ili nipigwe upepo nisilale. Nilifika dar Sina raha kutwa nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani mkuu amekwambia alishuka kweny gari?Huu mtindo wa kusimamisha gari na kushuka kwenda kushuhudia ndio mnajitafuutia matatizo, wakati unaenda kutafuta ushahidi kamili, unafungua mlango unaenda unatizama, huku jini na yeye anaingia kwenye gari. Unarudi unawasha gari mpaka kwako, jini lishaingia kwako na linaanza vitimbi!
[emoji23][emoji23][emoji23] me ninge kufa preshaNilikua natoka Mombo naingia Soni njiani nikakutana na watu kama wametoka sijui kwenye sherehe au ni nini wamevaa kama wanaijeria na makanzu wakanipiga mkono nikasimama wakaomba lift nikawapakia ilikua ni coaster kama dk tano tupo kweye safari naona kimya tu kucheki nyuma sikuti watu. nikawatukana tu kum.... zenu nikaenda kupaki
Mkuu unapigwa busu na mrembo halafu unakosa raha!!?ungeshuka mkuu umchimbe mkwara.."mambo yako ya kishetanishetani sitaki"...halafu unamvutia kwenye gari unaenda kutafuta lodge ya karibu....Kuna siku ilikuwa 2007. Nikitoka Arusha kwenda Dar saa Saba Nane usiku nilikuwa napita maeneo ya kwedikwazu. Kuna mahala Barbara imenyooka Sana Basi nikawa natembea speed 100-120.
Kuna mrembo mmoja mdada akawa anasimamisha gari akiomba lift. Nikapiga taa kubwa kumwona vizuri mrembo haswaa, sikusimama nikanuoosha goti, huku najiuliza huyu anaenda Wapi saa hizi,. Bwana ile nampita kwa speed ile alinipiga busu Mara tatu hapo dirishani. Maana sikuwa nimefunga madirisha ili nipigwe upepo nisilale. Nilifika dar Sina raha kutwa nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itafika mahali dereva ataona JIWE liko barabarani sijui itakuwaje hapo [emoji12]Hivi msafara wa kigwangala si dereva nae anasema aliona twiga,wachawi hawana chama hahahahah aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhh pancha???? Maeneo gani??? Mana n mda ujue tulikua tushafika mnazi au??? Sina kumbukumbu kama tulipata pancha bwanaWee kataa tuu lkn mlipata pancha mkashindwa kufungua buti nikawasaidia
Duuuh, mkuu hukuhofia kitu?Mwaka juz Nimekula shavu la kupeleka it border lusumo gali aina ya Subaru imprezza basi kama Kawa kwa kuwa gali lenyewe lilikuwa la race lilinikosesha hela lilikuwa linachukua watu wawili tu asiliamia kubwa ndani lilikuwa na mabomba ambayo yamefungwa gali zima endapo likipinduka lisiumie... Basi nimetoka yard kurasini break Rombo nikapata kichwa cha kwenda tinde njia panda kahama mwanza... Basi piga gia piga gia gali lilikuwa linakimbia sana... Kuna sehemu ukitoka dodoma mbele kuna kijiji kinaitwa saka mahela basi eneo hilo niko kibati mbaya tunapiga story mishale ya 9 kwenda 10 Ghafla abiria akaniambia watu hao kuja kutaamaki kundi la watu liko mbele basi nilipita katikati no watu no nini.... Abiria alishangaa sana nikamwambia hiyo ni michezo ya usiku Road
Sent using Jamii Forums mobile app