Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Mkuu, Utingo alikanyaga break at the same time wewe ukiwa kwenye usukani? Au gari lako lilikua na vitendea kazi jozi mbili kama yale ya driving school?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha Kaisari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Busu kivip mkuu wakat na gari una sema ilikua 120

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nani mkuu amekwambia alishuka kweny gari?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] me ninge kufa presha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapigwa busu na mrembo halafu unakosa raha!!?ungeshuka mkuu umchimbe mkwara.."mambo yako ya kishetanishetani sitaki"...halafu unamvutia kwenye gari unaenda kutafuta lodge ya karibu....
 
Mwaka juz Nimekula shavu la kupeleka it border lusumo gali aina ya Subaru imprezza basi kama Kawa kwa kuwa gali lenyewe lilikuwa la race lilinikosesha hela lilikuwa linachukua watu wawili tu asiliamia kubwa ndani lilikuwa na mabomba ambayo yamefungwa gali zima endapo likipinduka lisiumie... Basi nimetoka yard kurasini break Rombo nikapata kichwa cha kwenda tinde njia panda kahama mwanza... Basi piga gia piga gia gali lilikuwa linakimbia sana... Kuna sehemu ukitoka dodoma mbele kuna kijiji kinaitwa saka mahela basi eneo hilo niko kibati mbaya tunapiga story mishale ya 9 kwenda 10 Ghafla abiria akaniambia watu hao kuja kutaamaki kundi la watu liko mbele basi nilipita katikati no watu no nini.... Abiria alishangaa sana nikamwambia hiyo ni michezo ya usiku Road

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee kataa tuu lkn mlipata pancha mkashindwa kufungua buti nikawasaidia
Mhhh pancha???? Maeneo gani??? Mana n mda ujue tulikua tushafika mnazi au??? Sina kumbukumbu kama tulipata pancha bwana
 
Dar pale muheza kuna kuti lipo juu kwenye nyaya ya umeme,kuna siku nilipita saa sita usiku naendesha gari nilihisi kama mtu ana bembea ,ni ujasiri tu sikutetereka.
 
Hayo mambo acha tu kuna jamaa alikuwa anavuka border ya sogwe kwenda malawi ile kufika milima ya chiweta ilikuwa usiku wakakutana mwana dada mrembo anachunga ng’ombe cha ajabu lori inatembea spidi nae yupo usawa wa lori akaja kupotea mwenyewe tu.
 
Duuuh, mkuu hukuhofia kitu?

mndamba kutoka Ifakara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…