Sindio that's why nikajenga hiyo hofu , labda apitie Kenya na aishie huko huko serikali yenyewe inapenda kusifiwa sifiwa hii kama wehu hawapendi kusikia negativity zinazo lenga kukosoa utendaji wao dhaifuHii Bongo wanaweza kumsubiri airport anarudi wakaondoka nae, haieleweki kabisa. Ukiwa tofauti tegemea lolote muda wowote
Msipoibua hawezi jua yeye haandai Bajeti za manunuzi Wala specs hiyo ni kazi ya msd na Wizara ya Afya.Hili naona imeelekezewa kwa Mwigulu kwamba badala aongeze mashine za kisasa za MRI tuache kutumia machine used yeye anaenda kupambana na kufukuza wauguzi jambo ambalo lingefanywa na Bodi ya Uuguzi/Chama cha Wauguzi (TANNA) wenyewe, kuna kitu nimechukua na watamuita wakamzibe mdomo
Huko Nyuma Nilimpoteza Mzee wangu kizembe sana pale Muhimbili Unajua Haya mambo kama haujaexperience utaona Dudu baya kama anaongea shits! Lakini ni ukweli mtupu!All government Mchana tu tumetoka kuongelea Issue ya DP world hatujapumzika vizuri dudubaya kaja na hili
Unajifunza Nini kuhusu hii Nchi !?
Wakimmaindi Dudubaya tutaenda kufungua kesi mahakamani na ushahidi upo wa kutosha mbwa hao!Hahaha nimeishia kucheka tu hakuna namna hahaha eti unavalishwa Headphones wewe umekua DJ?
Una recruit Watu wa D 3 unategemea nini?Nchini Tanganyika tunafanyiwa mambo ya kipumbavu sana. Watu wengi wanakufa kwa sababu ya matibabu mabovu kwa kutumia mashine zilizokufa na kutupwa huko Ulaya halafu zikaokotwa na kuletwa Tanganyika kwa ajili ya kuwaua raia wasiokuwa na hatia. Inauma na inahudhunisha sana. Hivi ni lini serikali hii ya wakoloni weusi (CCM) itaanza kujali maisha ya raia.
Cc MamaSamia2025 ChoiceVariable Tlaatlaah Ritz Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa
Kila siku nasemea hii kitu. Kuna majukumu ya serikali na majukumu ya Private. Serikali hapa kwetu, inachukua kila kitu na mwisho wa siku inaharibu kila kitu.Nina hakika huko India alienda private sio za government
Hapa nitakupinga maana wale wa Diploma ni training! CBET. Ukijua tofauti kati ya education na training ambayo ni hands-on D nne hazitakusumbuaUna recruit Watu wa D 3 unategemea nini?
Nimewahi andika Uzi wa kupinga huu ujinga ila wapuuzi wakanishambulia.
Haya ndio matokeo Sasa.
Niliwahi ambiwa mimba haikui na hawasikii heartbeat inabidi kusafishwaKuwa na vipimo vizuri au vibaya ni moja. Lingine kubwa zaidi ni uwezo wa kusoma hivyo vipimo na. X ray au MRI hio hio akisoma Dr A na akisoma Dr B utapata matibabu tofauti.
Kwa hiyo wewe kwako hiyo training unaona inafaa? Hao ndio wamejaa kwenye maduka ya dawa,wanashiriki oparesheni na wanahudimia wahonjwa kama CO na wanaandika rufaa.Hapa nitakupinga maana wale wa Diploma ni training! CBET. Ukijua tofauti kati ya education na training ambayo ni hands-on D nne hazitakusumbua
Wewe mpumbavu kumanyokonaona umeeleza mambo useless gentleman na sina muda wa hizo mambo.
mimi na mamalioni ya vijana tumezaliwa Tanzania na kwahivyo ni waTanzania na si vinginevyo.
sina muda kuelezea kitu ambacho sikijui kuhusu eneo la kusadikika
Mkuu tupo pamoja sana. Na wala hiyo niliyotukana siyo wewe, samahani kama umeelewa vinginevyo. Nmesema jinga hilo linatoa fedha za magili wakati vifaa vya matibabu ni vya karne iliyiyopita. Samahani sana.πππ Mbona wanajua kuwa bitchuka anaumwa na wamempelekea Hela malizia na hiyo ,
Mimi umenielewa vibaya tu mkuu nilichokuwa Nina maanisha ni kwamba kutokana na kwamba serikali yetu inapenda sifa sifa za uchawa ni wazi hawato furahishwa na maneno ya dudubaya cause Huwa hawapendi kukosolewa
I appreciate πMkuu tupo pamoja sana. Na wala hiyo niliyotukana siyo wewe, samahani kama umeelewa vinginevyo. Nmesema jinga hilo linatoa fedha za magili wakati vifaa vya matibabu ni vya karne iliyiyopita. Samahani sana.
Serikali ya tz na taasisi zake kwa ukiritimba ni π©²π Hilo lipo waziHuko Nyuma Nilimpoteza Mzee wangu kizembe sana pale Muhimbili Unajua Haya mambo kama haujaexperience utaona Dudu baya kama anaongea shits! Lakini ni ukweli mtupu!
punguza mihemko nonsense gentleman plzWewe mpumbavu kumanyoko
Kuna baadhi ya hospital kule India zinahusika na kutoa organs kwa makusudi kuwa na tahadhari sana. Bora Thailand au Turkey tena kwa check up Thailand bei yake ndogo sana $400 unakutana na wataalamu zaidi ya 6 na kufanyiwa CT scan,MRI,full blood check up na mkojo na kinyesi pia wanaangalia.Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.