Kwa mambo kama haya Dada zangu mnajiharibia sana kisha baadaye mnatulaumu

Swali la msingi...mbususu ulikula?
 
Hiyo ndo shida ya kujifanya good samaritan. Kwanin usinyooshe maelezo? Mwambie wazi kua mnaenda hosp but una 50k te atajua atapimaje? Af kupima kwan lazma iwe "hospital anayoipenda?" Rapid tests ni zile zile kila hospital mayb kama anafanya CT Scan.
Af na we pia mjomba uwe mkweli tu wacha udomo zege. Kama umeenda kupiga kwa gia ya hospital mwambie mapema kabisa. Tena mshauri achukue na panadol ukimueleza wazi kua utakapomaliza kumshughulikia atazihitaji kupoza maumivu.
 
Ameshakuonyesha tabia yake iliyofanya wenzako wamkimbie, wewe unasubiri nini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ndio Hazimo bora hata huyo Mdada. Wanaume watatu wamemkimbia ww unahisi unaweza kukaa naye. Tatizo la Wanaume wengi Huruma zinawasumbua sana.

Achana na Huyo Akili hana. Na sometimes Huko kwao keshalaaniwa. Wazazi washamshundwa.. Ndugu washamlaani ww unapeleka pua yako
 
Kwenye kikao Hatujakubaliana kuwaita mademu wetu Dada hata kama Hatuwakubali ..Heshima ibaki palepale ni mademu wetu wanatulinda sana sema sisi hatuna shukrani.
 
Huko sio kushiba ni kufuru. Kwanza akishiba sana hiyo shughuli yenyewe aweza iona kero
🤣🤣🤣🤣 Labda yeye anaoend kula sana akishaingia ulingoni anapanua mapaja kazi kwako wewe mwanaume. Yeye kashapata raha yake huko kwenye chakula
 
Ndio matatizo ya ku-date singo mazaz!! Yaani huwa wanaona wanaume kuwa ni ATM zao tu. Dawa yao ni hii akikuomba pesa we mwambie huna. Kata nae mawasiliano utafute mwanamke anaejielewa na kujua thamani ya pesa za mwanaume. Ukiona mwanamke ana watoto wawili na kuendelea, tena kwa wanaume tofauti jua kuwa ni kimeo ,usirushe ndoano yako hapo ,utavua miba tu
 
Kwa sema wako huo alipaswa alipe fadhila kwa kukupatia mtoto mmoja miongoni mwa nao alionao!
 
Nakumbuka ilikuwa Jmosi fulani hivi, dada mmoja ambaye ni rafiki yangu alinipigia simu. J uko wapi? Nikamwambia niko getho. Nimeboreka home bana, tunaweza kutoka? Nikasema poa.

Tukaenda kijiwe fulani hivi, mi nilibeba 50,000.00. Tulikaa kuanzia saa 10 hadi saa 6 usiku. Nilitumia kama 23,000.00 tu, maana situmii wine, sijui bia. Labda Maji. Mwenzangu sasa, anakula hiki anaacha, mara sijui mbona ladha yake, sijuii nini, mara ili Mradi tu anikomoe!

Mara nifungieni niwapelekee watoto, ana watoto wawili, na msichana wake wa kazi + mdogo wake. Bill inakuja napewa Mimi kulipa 129,000.00/=

Nikamwambia mhudumu, naomba unipe ya kwangu kwanza! Akarudi akaniletea 23,000.00, then akampa yule dada 106,000.00. Nikatoa 30,000.00 nikaomba Chenji yangu. Akanipa 7,000.00 yangu nikatulia.

Namwambia lipa twende, anasema hana hela. Nikamwambia naondoka. Mhudumu nafikir mi sidaiwi naondoka. Akasema hudaiwi kaka, nikanyanyuka. Hivi kweli J ndo unaondoka bila kulipa, mi nishalipa wee ndo hujalipa! Lipa twende!

Akainuka akaenda pembeni, akaongea na simu, baada ya maongezi yale akamuuliza mhudumu unaweza kupokea kw M-pesa! Mhudumu sawa tu, ila uweke na ya kutolea. Mhudumu alivosema tu, nimeiona. Akanyanyuka bila kuniaga!

Tuko nae ofisi moja, hadi Leo hata nikimwambia tukanywe, chai naona anachungulia kwenye wallet yake kwanza, ndo ananyanyuka.
 

Ujinga ni kudhani wanaume walioshindwa single mother hawajui kujali,hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayemwacha Mwanamke anayejitambua
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…