Kwa mambo kama haya Dada zangu mnajiharibia sana kisha baadaye mnatulaumu

Nilikasirika ikabidi nitoke nje nisione kile chakula kinarudi kumwagwa halaf bado nikilipie
Pole Sana,next time naomba uwe mkaka kauzu mwambie kabisa agiza kitu unachoweza kula ukashiba na ukamaliza,mwambie ukiagiza hayo mapizza yako unashindwa kula silipi,mkazie, mwenyewe ataagiza ships kuku alizozizoe
 
Hii nayo njia Bora ukiwa na una mtoko na mtu usiyemuelewa akili zake
 
Baadhi ya wanawake wana tabia mbaya sana!
wanakuwa kama watoto tena bora ya watoto kumbaf kabisa
 
Sio kila mama huwapa watoto wake kipaumbele
 
Tunawait bolt
 
Vituo vya afya hasa private ukijiendea tu eti nataka nipime vipimo vyote na huku pesa ni ya mawazo utapigwa vipimo hivyo na bill utakayoletewa utabaki mdomo wazi,

ila mkuu na ww umezingua ulitakiwa umuongoze sio Kila kitu wanachosema Hawa ndugu zetu ukifuate kuna muda lazima udinde kuonyesha msimamo,

Nakumbuka kipindi naingia Zanzibar kusaka maisha basi kuna siku nikakutana na pisi moja nikaiimbisha ikanielewa mvua ilikuwa inanyesha siku hiyo maeneo ya forodhan akaniambia tuingie ile hotel imeingia ndani ya bahar kidgo( kwa ambao washafika zenj wanaijua) Sasa tumekaa tu akaja muhudumu nikamuuliza soda kiasi gan akaniambia 4000/= nikamwambia yule msichana simama tuondoke maana mfukoni nilikuwa na 10000/= tu na soda hiyo hiyo nikitoka hapo pembeni ni 1000/= nashukuru demu alinielewa japo alibaki anacheka tu na leo hii ni mke wangu.
 
Safi Sana kwa kuwa na maamuzi ya kiume
 
We hujiulizi kwann wanaume 3 wote wamemuacha?
Hana akili ndio!
Halafu nyie huwa hamtuelewi wanawake,jinsi ulivyokuja ndo tunavyokupokea
 
Duh
Hivi wanawatoaga wapi kwani?[emoji3][emoji849]
 
nyie msiotumia pombe huwaga mnachezewa sana na hawa viumbe-...sisi akileta ujinga kama huo hatuchelewi kumwambia nyanyuka ondoka hapa nenda kwenu.
 
Umebahatika. Tunza bahati yako mzee
 
Si useme tuu mtoto mmoja ni wako!!
Unazunguukaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…