Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ambaruty atatufaa sana kwa vile hatujawahi kuwa serious na kitu chochote
 
Mapendekezo yangu, hawahapa nawaona kuwa wanafaa:
1. Kassim Majaliwa
2. Simbachawene
3. Gwajima
4. Dr Ali Hassan Mwinyi
Hawa wamekuja kichwani haraka haraka ingawa ishu ya mkristo sijazingatia. Nitarudi baadae kuongeza list au kuiedit hi
 
As long as is an Agency from our special field there 🙏.
 
Kwa CCM, Rais ni SAMIA SULUHU HASSAN. Labda kwa vyama vingine mnaweza kupendekeza.
 
As long as is an Agency from our special field there 🙏.
Mheshimiwa shikamoo nyingi kwako.. kwanini umepotea sana humu ndani. Au majukumu yamekukaba sana katika kulitumikia Taifa. Uwe unakuja mara moja moja hata kusalimia tu humu jukwaani.
 
Kaeni kwa kutulia mpaka 2030 ndiyo Rais Samia atamaliza muda wake. Samia ni chaguo la Mungu baada ya kumuondoa yule Dikteta DHALIMU wa Chato.

Majaliwa atabakia mbunge wa Ruangwa tu 2025-30. Kwa taarifa yako hakuna Waziri Mkuu ambaye amewahi kuwa Rais wa Tanzania zaidi ya Nyerere
 
Freeman Mbowe
 
Albert msando
 
H.E. Ambassador Joseph Edward Sokoine.

Huyu anafaa kupeleka nchi mahali Fulani.

2025 tunaondoka naye uchaguzi mkuu nafasi ya kwanza.
 

Attachments

  • Joseph_Edward_Sokoine_2023.jpg
    48.1 KB · Views: 8
Kutokana na ukomavu wa Rais Samia Suluhu Hassan na chama chake CCM kidemokrasia, taarifa kutoka Lumumba zinasema Samia ameruhusu yeyote anayetaka kuchuana naye kuwania Urais 2025 kupitia CCM achukue tu fomu wakutane White House, Dodoma.

"Unajua wengi hawamfahamu vizuri mama (Samia) ni mkomavu mno kidemojrasia ndani na nje ya chama. Katika moja ya vikao vya ndani amesema anayetaka kugombea aje tukutane Dodoma", kinasema chanzo katika korido za Lumumba.

Kwa kauli hii, na kwa kuridhika na uongozi wa mwanamke, nimeangalia sana mwanamke mwingine ndani CCM mwenye uwezo wa kiuongozi nimemuona Prof Anna Tibaijuka tu.

Kote alikifanya kazi ndani na nje ya nchi kuanzia na UN Habitat, Uwaziri wa Adhi na Mipango Miji, Ubunge jimboni na "kiburi" cha kumkatalia Kikwete kujiuzulu akimwambia sijiuzulu ila wewe nifukuze uwaziri mwenyewe, ni sifa za kiongozi anayejiamini.

Prof. Anna Tibaijuka kama fedha za kununua fomu tutakuchangia tulioona karama hii ya uongozi. Tusogeze Hadi 2035.

Kila lakheri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…