Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jibu lipo wazi kabisa..tunahitaji Rais atakayelinda maslahi ya wanachi, maslahi ya Watanganyika- Rais atakayetupatia Katiba mpya - Rais atakayeondoa manyanyaso na dhurma kwa baadhi ya tabaka.
 
Unaongelea 2025 ama 2035? Kwa sababu nafasi hiyo haipo tena.

Kama ni suala la kufaa tu, basi hata sasa tungezungumzia nani anayefaa kwa sasa.

Kama ni suala la muda, hiyo ni 2035 na wala si 2025!

Unaweza kuchagua kuufuata mtazamo wako kama unakufariji, lakini ukweli ndio huo.
 
Natoa unabii utakao washangaza wengi.

Kwa ufupi yule bwana alie kaa kiti cha nyuma ndie yule ajaye najuwa kuna wale wamekaa mikao yote kuepuka ya Lowasa ila nawakumbusha wazidi kukaa mikao yote ila ajaye ni yule ako kwa kiti chanyuma na ili msipaniki hatokuwa na upande wowote isipokuwa kupikwa vilivyo yes ni moja ya picha kali ya kijasusi wa CIA kama sio FSB..

Bimkubwa walahiii atawafulahisha ila ndio hivyo maana tamaa zenu za urais sasa zinataka kuligawa Taifa sasa kabla hamjaligawa picha lazima lichezwe.

Wema hawafi na hata wanavyo kufa legacy yao hishi milele
 
Muhimu asiwe anatuteka tu. Kiti sio ishu hata Ali Kiba alitaka akapewa.
 
Mpaang
 
Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Mpaang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…