Bapalidako
Member
- Aug 6, 2024
- 79
- 166
Tundu Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekupata inabidi upige kura ndio uone matokeoKwa wale ambao hawajapiga Kura hawawezi ona matokeo
Huu uzi ni mzuri, ilai hauwezi kudumu. Sijui sheria ya takwimu ndio huwa tatizo
Mbona kama uzi wa michawa au mikunguni huu?Natoa unabii utakao washangaza wengi...
MpaangHabari za leo,
Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi.
Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri.
Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
Wajina wa baba wa Taifa, ataupiga mwingiiiiSteve Nyerere
MpaangTuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?