Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

Leo hii mmeamua kuwasifia madada zetu, basi mi nasemaje wasukuma na wanyakyusa wana mashepu nawaelewa sana kuliko hawa dada zangu wakichagga....
 
Jina la id yako imekaa kichawi chawi mkuu.

Hata hiyo profile pic 🤣🤣
KARIBU SANA!
... ndo maana nna ulimbo wa warembo!
1700257391947.png
 
Ukanda huo Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida wana rangi inayowatia kiwewe wanaume wengi washamba washamba, sura nzuri zipo ila miguu na kalio hawashtui kiiivyo,, labda mang'ati niliona ndo wana miguu ya bia ambao ni wachache sana
Sio Kweli

Urefu, miguu, sura na umbo watu wa Arusha wapo vizuri...wamang'ati wana ngozi nzuri ya kuteleza kama wamasai na urefu tu
 
Sio Kweli

Urefu, miguu, sura na umbo watu wa Arusha wapo vizuri...wamang'ati wana ngozi nzuri ya kuteleza kama wamasai na urefu tu

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Kwa miguu hamuwapati mang'ati wana miguu iliyojaa tofauti kabisa na makabila mengine yote ukanda huo
 
Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake.

Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
Siyo kanda ya kaskazini, nchi nzima.

Arusha is the epitomy of beauty.
 
Back
Top Bottom