Uchaguzi 2020 Kwa mapokezi makubwa anayoyapata Lissu, chondechonde nawaomba NEC na Vyombo vyote vya Dola

Uchaguzi 2020 Kwa mapokezi makubwa anayoyapata Lissu, chondechonde nawaomba NEC na Vyombo vyote vya Dola

Kukaa mikutanoni na kushangiliwa sio kigezo cha ushindi.

Wengine wezi wa simu, wengine wafuata mkumbo, wengine wanashangaa tu.

Wapiga kura katika wingi ule wa watu wanaokwenda mikutanoni ni wachache.
Sasa mbona hawaji kwenu?
 
Basi naomba uelezee mapokezi ya Tl right now yanahusiana veep na uchaguzi wa serikali za mitaa. Labda ndo nitakuelewa mkuuu.

Note: sifungamani na chama chochote mkuu.

Mapokezi hayakulindwa na polisi lakini hapakutokea Fujo yoyote,

AMANI IKITAWALA.
 
Mbowe ni mjanja anajua kutengeneza mazingira yenye fursa za baadae.

Anajua kuwa Lissu ni maarufu na anaweza kusaidia ongezeko la idadi ya wabunge hivyo ruzuku kuongezeka wakati wa miaka mitano ijayo.
Nani asiye mjanja Sasa? Au wewe unaona kuwa mjingamjinga Ndo nzuri? Na Kama Ni ruzuku tutajie asieipenda!! You have to get rid of primitive judgement and don't be biased.
 
Sasa mbona hawaji kwenu?
Wanakuja na kupiga kura na kurudi majumbani.

Kuna wale wanaitwa silent majority huwa hawana kishindo cha kelele za mikutano ya kampeni wanaijua kazi yao.

Muulize Hillary Clinton alichokipata kutoka kwa hao Silent Majority.
 
Hujamuelewa Magufuli na hujaelewa kwanini maneno yale kayasema pale ikungi.

Kayasema pale ili: 1. apate kura za wale wananchi wa Ikungi, 2. kuwaadaa kuwa watakuwa na mtu wao serikalini.
All in all, hiyo ni rushwa.
 
Kukaa mikutanoni na kushangiliwa sio kigezo cha ushindi.

Wengine wezi wa simu, wengine wafuata mkumbo, wengine wanashangaa tu.

Wapiga kura katika wingi ule wa watu wanaokwenda mikutanoni ni wachache.
Mbona Mikutano ya Spunda au Cheif Lutayosa Yemba ilikuwa na watu wachache na matokeo yalikuwa hvyo hivyo machache? Idadi ya watu/shazi ina reflect wapiga kura acheni uzwazwa maana nyie manasema wanaojazana kwenye mikutano ya chadema hawana kadi mara hawapigi kura yaani ni propaganda za kipuuzi na hapo hapo mnasema wapiga kura wameongezeka ,sasa tuwaelewe vp? Kama mtu ametembea kwa miguu kutoka airport hadi uwanjani zaidi ya 1hr ndio ashindwe kwenda kupiga kura?
 
Nani asiye mjanja Sasa? Au wewe unaona kuwa mjingamjinga Ndo nzuri? Na Kama Ni ruzuku tutajie asieipenda!! You have to get rid of primitive judgement and don't be biased.

Ninatazama mbali na ninao uzoefu wa kumsoma na kumuelewa mwanasiasa.
Primitive judgement huelewi maana yake zaidi ya kulisoma neno mahali fulani.
 
Kayasema pale ili: 1. apate kura za wale wananchi wa Ikungi, 2. kuwaadaa kuwa watakuwa na mtu wao serikalini.
All in all, hiyo ni rushwa.

Ile ni janga ya kampeni ya kujaribu kumshusha thamani Lissu na inakubalika duniani kote.

Trump anamuita Biden “sleepy Biden”, ni kejeli ya kisiasa.
 
Mbowe ni mjanja anajua kutengeneza mazingira yenye fursa za baadae.

Anajua kuwa Lissu ni maarufu na anaweza kusaidia ongezeko la idadi ya wabunge hivyo ruzuku kuongezeka wakati wa miaka mitano ijayo.
Huo sio ujanja bali ni hesabu za kawaida tu ni nani amlete mtu ambaye hauziki na atie hasara chama?
 
Mapokezi hayakulindwa na polisi lakini hapakutokea Fujo yoyote,

AMANI IKITAWALA.
😁😁 point yako still hamna connection ya mapokezi ya Tl na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Mtu kushangiliwa na bodaboda wa Ilemela ndio tumor nchi hayo yakufanyia kea idd Amin hayapo tena
 
Wengi washangaaji tu, Lissu uwezo wa kuongoza nchi hana, CHADEMA ni dhahifu sana na ikitokea siku wakaongoza watakuwa mafisadi wakubwa sana, walionesha madhaufu yao makubwa sana 2015

Nchi hii tanzania rahisi sana, hata buku7 ukimpa anaongoza fresh tu
 
Hajafikia hata Ile robo ya mikutano ya Lowassa!

Mapokezi gani makubwa Kwa Lisu?
 
Kuna tofauti kati ya mapokezi na wapiga kura. Usisahau hilo tafadhali.
kumbuka kikadi cha mpiga kura ndicho kilikuwa kinasajili sim card hivyo watu wengi wanavyo walipogundua hivyo ndio wakabadilisha wakaleta nida ili vijana tupuuze kadi ya mpiga kura lakini tulikuwa tumeishavipata
 
Usije kushangaa jina lake halipo kwenye karatasi yenye orodha ya wagombea wanaopaswa kupigiwa kura.(balot paper)
 
Kuna mwanasiasa aliyepata mapokezi makubwa kumzidi Mrema wa 1995?.

Aliishia wapi?. Kama mleta mada ni mgeni kwenye siasa za TZ ni lazima utekwe na matukio ya muda tu.
Nilikuwepo Tanzania, hasa dsm. Uchaguzi ulifanyika vizuri, kura zikahesabiwa. Ilipofika saa 6 usiku wakati matokeo yanaanza kutolewa vituoni, tukaambiwa uchaguzi kwa dsm yote umefutwa!
 
Katika mapokezi yote ya Lissu Dar, Arusha na Mwanza, hajafikia yale ya Slaa na Lowassa katika maeneo hayo ingawa idadi ya watanzania imeongezeka kidogo.
 
Back
Top Bottom