HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 1,178
- 2,131
Kwa hiyo we ni paka, jini au njiwa🤣🤣
Mkuu Kiumbe Kilichojaaliwa Utashi Kinaagizwa...Na Moja Ya Kiumbe Hicho Ni Pamoja Na Sisi Zamadamu Tunaagizwa...
Hatutumwi Kamwe...
Hatutumwi Kamwe...
Kwa hiyo we ni paka, jini au njiwa🤣🤣
Zamadamu❎Mkuu Kiumbe Kilichojaaliwa Utashi Kinaagizwa...Na Moja Ya Kiumbe Hicho Ni Pamoja Na Sisi Zamadamu Tunaagizwa...
Hatutumwi Kamwe...
Zamadamu ni viumbe wa kale waliokuwa na umbile linalofanana na binadamu kuliko sokwe.....Zamadamu❎
Binadamu✅
Atakwambia kwanini haukuimba qaswida?Hapana kaka mi kobaz🤣🤣🤣✌️✌️. Ni kama bongo fleva, ila nimeimba kwa staili ya ghanapiano🫵🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
Hivyo ni vitu viwili tofauti😅Zamadamu❎
Binadamu✅
Kubali kosa mkuu shida nini🤣Zamadamu ni viumbe wa kale waliokuwa na umbile linalofanana na binadamu kuliko sokwe.....
Dah 😃😃😃Hivi wewe ni me au ke
😹😹siku zote najua ni ke
Kubali kosa mkuu shida nini🤣
Usiwazee kakaWeka Ngoma sas
Asante kaka
Sina mikato kama yako mdogo wangu kiujumla ushalegea kwenye kundi haumooUmejuaje au na wewe, ni .....
Chukua bodaboda njoo geto, najua unacho kutafuta boda akifika mpe simu niongee naeSina mikato kama yako mdogo wangu kiujumla ushalegea kwenye kundi haumoo
ProffesionalNa wewd ni msanii
Kaka kwema lakini, nimerekodi kwa producer mMoja hapa zenji, ngoma isha rekodiwa bado ana Fanya mixing, ikikamilika jmosi hii naanza video shooting ngoma nilitaka itoke November katikati 13,14,15studio gani na prodyuxa gani? ngoma inatoka lini?