maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
- Thread starter
-
- #61
Ndiyo mwanaume naye ameambiwa afunike kuanzia juu ya kitovu kwenda chini na chini ya magoti, ndiyo maana Muisilamu haruhusiwi kuvaa vikaptura vinavyoonyesha mapajaKumbe mwanaume anatembea uchi!
Huo uongo, ila mwanamme inabidi ufuge ndevu kujitofautisha na mwanamke ndiyo mapambo aliyotuumbia Mwenyezi Mungu na usinyoe nywele kwa kuchonga wala usifuge mustachiMwanamme anafunikwa hijab kwa lazima?
Uisilamu kwa kila unachokifanya ni Mwenyezi Mungu ndiye aliyeamrisha siyo binadamuHoja ninkwamba hijab ibamuheshinisha mtu.
Kama hilo ni kweli.
Kwa nini mwanamke afunikwe na kuheshinishwa na mwanamme asiheshimishwe?
Wewe unasema hijab ni vazi la kike.
Ushawahi kujiuliza kwa nini hijab ni vazi la mwanamke na si la mwanamme?
Nenda level moja deeper kuliko kukubali tu kuwa dunia iko hivi, jiulize kwa nini iko hivi.
ndiyo ukweli wanafata misingi yote ya KiisilamuKwa hiyo Iran ndio nchi ya Kiislamu au sio?
Toka siku alipokufa Mtume Muhammad(S.A.W)ndipo unayoyaona ya Saudia arabia yalipoanza kujitokeza lakini wakati mtume yupo hai hayakuwepo hayo,Madina ilikuwa serikali ya Munganiko Mbingu na ndiyo ya mwisho kuwepo duniani ni historia ndefu sana ukitaka soma hiki kitabu kilichoandikwa Historia ya kweli ya Uisilaamu Isram orgHuko panapouzwa pombe na kamari ndio palipoanzia hiyo dini hata kaburi la muanzilishi wa hiyo dini lipo huko, Wairani wana tamaduni zao ila sio Waislamu, Mashia sio Waislamu
Kama mtu hataki kufuata sheria ya Mwenyenzi Mungu au haamini uwepo wa Allah kwa nini alazimishwe?!Siyo wao hiyo ni sheria ya Mwenyezi Mungu ambayo aliishusha yeye mwenyewe kumwambia Mtume Muhammad(S.A.W)waambie kila mwanamke ajistiri kichwa chake avae ushungi
Dhana nzima ya nchi ya kidini kwenye Uislamu ni ujinga.Tofautisha unapokuwa katika inchi ya kidini hawatakulazimisha kuswali ila utalazimishwa uvae mavazi ya kujistiri,chukulia mfano unaweza kwenda beach na mama yako hata kama kavaa vitenge halafu mkawa mnaona wanawake wengine wamevaa vichupi hivi mtatizamana vipi na mama yako au mwanao?
Kwa nini mtu alazimishwe mambo ya dini wakati dini inasema mambo ya dini hayalazimishwi, mtu anafanya kwa hiyari yake mwenyewe?Huo uongo, ila mwanamme inabidi ufuge ndevu kujitofautisha na mwanamke ndiyo mapambo aliyotuumbia Mwenyezi Mungu na usinyoe nywele kwa kuchonga wala usifuge mustachi
Sasa kama mtu haamini katika Mwenyezi Mungu, utamlazimisha aamini Mwenyezi Mungu wakati Quran yako yenyewe imesema mambo ya dini hayalazimishwi, mtu anaamua mwenyewe?Uisilamu kwa kila unachokifanya ni Mwenyezi Mungu ndiye aliyeamrisha siyo binadamu
Ina maana hujui uislamu ulisambaaje? Dini zote ni mawazo ya watu, na MUNGU ni nadharia tu.Hivi wapi na lini inchi ya Kiisilamu iliyowahi kuuwa watu kwa ajili ya kukataa au kuwalazimisha watu waingie kwenye Uisilamu? Lakini najua Roma imeshawahi kufanya hivyo
Nakuelewa sana siku hizi baada ya mimi kuwa mwehu kwenye mambo ya dini.Kwa nini mtu alazimishwe mambo ya dini wakati dini inasema mambo ya dini hayalazimishwi, mtu anafanya kwa hiyari yake mwenyewe?
Huoni kulazimisha mambo ya dini hapo ni kwenda kinyume na maagizo ya dini yanayotaka mambo ya dini yasilazimishwe, watu wafanye kwa hiyari yao?
Hapa siyo suala la nani anafanya ugaidi. Suala hapo lazima uwe unatumia ubongo wako unaongea na nani. Wewe unaongea na Marekani na Israel. Hawa wanaeleweka kwa ukatili wao. Wewe unasimama unasema nitafutilia mbali kizazi cha kiyahudi. Ahmenadinajad amewahi kusema kuwa Unyama waliwanjiwa wayahudi Ulaya (Germany) ulikua ni myth (yaani kufikirika tu haipo). Irani wazi kabisa imeongea kwa hisia kuwa wao wana uwezo wa kufanya chochote kile na hawakuficha kuwasaidia terrorists kufanya ujangili, na kuuzia silaha waasi duniani kama wala waYemeni. Mambo mengine hata wale ambao wana taka kukusaidia wanashindwa. Angalia China na Urusi wako kimyaa kwa sababu hata wao maneno anayosema Irani hawawezi kusema.Israel Marekani na Irani nani anayefanya ugaidi?
Waislam katika nchi ya Iran ni kama asimilia 40%, Kumbuka hao sio Waarabu wana utanadunia wao wa kale na kale kama Persian culture. Hao unaowaona wanatawala kwa kivuli cha dini ni jamii tu kama BAKWATA kwa hapa bongo ipate madaraka. Kwa hiyo maelezo yako yote ni ya uongo na yamejaa ujinga na kukosa taarifa sahihi.Mangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu
Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao Mtume Muhammad (S.A.W) ndiyo haya maisha halisi wanayoishi wairani,inamaana hakuna kitu kipya walichoingiza kila wanachokifanya ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa Mtume wake Muhammad(S.A.W)na wao wanayafwata na haya yanayotokea leo yalishatokea miaka 1400 huko kabla
Saudia Arabia
Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao
Mfano leo hizo inchi zinazojiita za kiisilamu zimewakalibisha wazungu zimejikuta zinauza pombe,kuna clabu za malaya nazani hata nyama za nguruwe zinauzwa watu wanatembea uchi kama Dubai na viongozi wao wanaishi maishi ya anasa,
Katika Uisilamu hivyo vitu vimepigwa marufuku sasa mnamshutumu Irani anayefwata sunna ya Mtume Muhammad(S.A.W) na maisha aliyoisha swahaba immamu Ali bin twalibu au manataka muendeleza wa maisha ya makafiri wa Makka kina Muwaiya kabla hawajakubali kusilimu kinguvu
Wale waasi wa Yemeni nani anawafandhili?Wamefadhili ugaidi gani na wapi?
Hiyo Israel mbona ilimfadhili Al Jolani ambaye ni Mwenyekiti wa Al Qaed huko Syria kumpindua Al Assad je huko pia ni kusponsor terrorism?
Pia Israel ili support ISIS, RSF, SDF, YPG, PKK n.k je nayo inafadhili ugaidi?
Uislam umetoka Makkah na Madina na hiyo historia itabaki hivyo milele, waIrani sio Waislam na Mashia sio WaislamToka siku alipokufa Mtume Muhammad(S.A.W)ndipo unayoyaona ya Saudia arabia yalipoanza kujitokeza lakini wakati mtume yupo hai hayakuwepo hayo,Madina ilikuwa serikali ya Munganiko Mbingu na ndiyo ya mwisho kuwepo duniani ni historia ndefu sana ukitaka soma hiki kitabu kilichoandikwa Historia ya kweli ya Uisilaamu Isram org
Mange uislam haujui. Haiwezekani mwanamke wa kiislam kutembea kichwa wazi kama mkiristoMangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu
Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao Mtume Muhammad (S.A.W) ndiyo haya maisha halisi wanayoishi wairani,inamaana hakuna kitu kipya walichoingiza kila wanachokifanya ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa Mtume wake Muhammad(S.A.W)na wao wanayafwata na haya yanayotokea leo yalishatokea miaka 1400 huko kabla
Saudia Arabia
Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao
Mfano leo hizo inchi zinazojiita za kiisilamu zimewakalibisha wazungu zimejikuta zinauza pombe,kuna clabu za malaya nazani hata nyama za nguruwe zinauzwa watu wanatembea uchi kama Dubai na viongozi wao wanaishi maishi ya anasa,
Katika Uisilamu hivyo vitu vimepigwa marufuku sasa mnamshutumu Irani anayefwata sunna ya Mtume Muhammad(S.A.W) na maisha aliyoisha swahaba immamu Ali bin twalibu au manataka muendeleza wa maisha ya makafiri wa Makka kina Muwaiya kabla hawajakubali kusilimu kinguvu
Iran ila ni sawa tu na Israel anafadhili kurds wanaopigana na serikali ya Iran ila mbona hakuna siku wameitwa Israel ni wafadhili ugaidi?Wale waasi wa Yemeni nani anawafandhili?
Hao hawalazimishwi si wamekubali wenyewe kuwa Waislamu?Sasa kama hiyari yake kwa nini kuwe na nchi inayoendeshwa kidini?
Kwa nini kuwe na sheria za kulazimisha mambo kidini?
Kwa nini watu wasiachiwe waishi bila kushurutishwa kuishi kwa sheria za kidini, na makosa yao ya kidini wajuane wenyewe na Mungu kama yupo at all?
Hii ipo nchi gani?Kwa nini watu wanalazinishwa mpaka kuvaa kwa mtazamo wa dini fulani, dini ambayo pengine hata hawaiamini?
Iran wanawake wanalazimishwa kuvaa hijab.Hao hawalazimishwi si wamekubali wenyewe kuwa Waislamu?
Hii ipo nchi gani?